Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

Urusi kabanwa hana hamu!

Kule Syria kafunga kambi zake zote za jeshi maana hana resources za kuendeshea vita na kambi kibao nje ya nchi kama ilivyo kwa USA.

Kama si vita ya Ukrain hata Syria ingekuwa bado iko mkononi mwa Asad
 
Hawajawahi kuwepo ukraine zilikuwa propaganda
 
Urusi kabanwa hana hamu!

Kule Syria kafunga kambi zake zote za jeshi maana hana resources za kuendeshea vita na kambi kibao nje ya nchi kama ilivyo kwa USA.

Kama si vita ya Ukrain hata Syria ingekuwa bado iko mkononi mwa Asad
Ni sawa tu, ni kama US alivyotoka nduki Afghanistan, inatokea, au Israel alivyokimbia Gaza.
 
Habari mnazitoaga wapi Russia amemaliza shuguli,Trump amesitisha misaada Ukraine, EU wamemchunua wanaangaika na hali zao mbaya za uchumi wao huku wakivisubiria vikwazo vipya vya Trump.

Trump kingine alicho mshauri Zelensky kuitisha uchaguzi ambao Zelensky aliusogeza mbele, Ukraine kama movie inaelekea kuisha.
 
Hata mzungu ajui kuandika kiswahili .... kwa hiyo wewe una amini kuwa urussi kashindwa kuchukua eneo lake la kursk 😁😁😁 your very stupid
Your very stupid - hapa ulitaka kumaanisha nini? You cant speak /write neither english nor swahili. Mlete anayekusimulia ndo nimwelekeze. Kisha aje akuelekeze na wewe.
 
Habari mnazitoaga wapi Russia amemaliza shuguli,Trump amesitisha misaada Ukraine, EU wamemchunua wanaangaika na hali zao mbaya za uchumi wao huku wakivisubiria vikwazo vipya vya Trump.

Trump kingine alicho mshauri Zelensky kuitisha uchaguzi ambao Zelensky aliusogeza mbele, Ukraine kama movie inaelekea kuisha.
Dogo waambie wanaume wenye kufahamu wakujulishe. Hiyo habari imetoka al jazeera. Nadhani hufahamu hiyo ni nini.unasubiri tena jamaa aje akusimulie kuwa Russia amemaliza shughuli. Maana hata kuandika shughuli. Hujui. Unaandika shuguli. Utaweza wafahamu al jazeera kweli? Subiri usimuliwe.😁
 
Kwani haujamsikia Trump? Sasa huyo anapigana vipi wakati hela hana,Trump kasitisha misaada yote.... pili Russia hawezi tumia resources nyingi kwa vita inayo elekea ukingoni na mpizani wake ambaye yupo hoi,kiuchumi ambaye anatembeza bakuli.

Trump alicho mwambia aitishe uchaguzi,ambacho Zelensky hataki. Wiki ikiyopita tu Russia kachukua machibmo ya Lithium pamoja na tani 500k za Lithium na Ukraine ndiye ana storage kubwa ya Lithium.
 
Aisee hizi mambo Gani tena
Aisee, mzee acha hii tabia, hii comment unaikumbuka?
mh.png
 
Kwani haujamsikia Trump? Sasa huyo anapigana vipi wakati hela hana,Trump kasitisha misaada yote.... pili Russia hawezi tumia resources nyingi kwa vita inayo elekea ukingoni na mpizani wake ambaye yupo hoi,kiuchumi ambaye anatembeza bakuli.

Trump alicho mwambia aitishe uchaguzi,ambacho Zelensky hataki. Wiki ikiyopita tu Russia kachukua machismo ya Lithium pamoja na Tan 500k za Lithium na Ukraine ndiye ana storage kubwa ya Lithium.
Dogo waambie wanaume wenye kufahamu wakujulishe. Hiyo habari imetoka al jazeera. Nadhani hufahamu hiyo ni nini.unasubiri tena jamaa aje akusimulie kuwa Russia amemaliza shughuli. Maana hata kuandika shughuli. Hujui. Unaandika shuguli. Utaweza wafahamu al jazeera kweli? Subiri usimuliwe.😁
 
Your very stupid - hapa ulitaka kumaanisha nini? You cant speak /write neither english nor swahili. Mlete anayekusimulia ndo nimwelekeze. Kisha aje akuelekeze na wewe.
Nyinyi si ndiyo wale mnao ambiwa mtamke neno "this" huku mmebana pua na nakulegeza matako kabisa hili mumlizishe mkoloni😁😁😁😁 baada ya siku chache mnaanza kula hizi pipi za kijiti na mindevu yenu🍭🍭🍭🍭🍭🍭
 
Back
Top Bottom