Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

Nyinyi si ndiyo wale mnao ambiwa mtamke neno "this" huku mmebana pua na nakulegeza matako kabisa hili mumlizishe mkoloni😁😁😁😁 baada ya siku chache mnaanza kula hizi pipi za kijiti na minded yenu🍭🍭🍭🍭🍭🍭
Your very stupid - hapa ulitaka kumaanisha nini? You cant speak /write neither english nor swahili. Mlete anayekusimulia ndo nimwelekeze. Kisha aje akuelekeze na wewe.
 
Aisee hizi mambo Gani tena
Aisee, kumbe ndio zako hizi?
mh3.png
 
Inasemekana wanatumia mbinu za 1980s ila inasemwa wana morali na nidham sana.
 
Dogo waambie wanaume wenye kufahamu wakujulishe. Hiyo habari imetoka al jazeera. Nadhani hufahamu hiyo ni nini.unasubiri tena jamaa aje akusimulie kuwa Russia amemaliza shughuli. Maana hata kuandika shughuli. Hujui. Unaandika shuguli. Utaweza wafahamu al jazeera kweli? Subiri usimuliwe.😁
Hii yangu imetoka Hindustan Times (Chombo kina miaka zaidi ya 110).Unapigana vipi na huna hela au humsikii Trump........ vita bila hela unapigana vipi.

Alicho fanya Russia ni kupunguza resources.
 
Hakuna kipigo tumia akili ....niliwaambia hapa kuwa waukreni hawana akili na NATO wao ....ukitumia akili vizuri utajua kwanini kursk bado urussi ajaichukua kikamilifu mpaka leo kuna manufaa makubwa sana kijeshi kwa urussi na hata kwa hiyo North Korea pia ...niliwaambia kuwa mbinu anayo tumia mrussi hapo KURSK INAITWA KULINA ASALI INATUMIKA KWENYE UFUGAJI WA NYUKI...inatakiwa ukilina asali ubakishe kidogo hili nyuki waendelee kubaki na wewe uendelee kupata manufaa ya asali .....sasa ukweli ni kuwa urussi ingetaka kukomboa eneo lote la KURSK ingutumia mwezi mmoja tu kusambaratisha jeshi la UKRAIN NA NATO kwa asilimia 100% ....ningekuwa na muda ningeandika hapa kwanini warussi wanawafuga NATO NA UKRAIN HAPO KURSK kuna manufaa gani kijeshi kwa upande wa urussi? na kuna hasara gani kubwa sana wanayo pata ukrain na NATO hapo kursk ....hivyo kurudi nyuma ni kuzidi kuwafanya waukrain na NATO wasiondoke hapo kursk wazidi kuuliwa na kualibiwa silaha zao nyingi kirahisi for nothing goal.
Ona timu Putin inavyotumia masaburi kufikiri badala ya ubongo! Hivi uko timamu wewe?
 
Hata mzungu ajui kuandika kiswahili .... kwa hiyo wewe una amini kuwa urussi kashindwa kuchukua eneo lake la kursk 😁😁😁 your very stupid
Vita siyo dini, ambayo inahitaji kuamini. Vita ni uhalisia. Inaonekana na inadhihirika.

Urusi inatamani sana kuirudisha Kursk, lakini imeshindwa. Imeomba msaada kwa Korea Kaskazini, nao wameshindwa.

Urusi ilitaka kuiteka Kiev, na kuiondosha Serikali ya wananchi, ilishindwa na kufurushwa vibaya, ikakimbilia mashariki.
 
Wewe umeshindwa nini kujiuliza kwanini hayo majeshi ya nje yapo kursk tu ....kwanini wakorea awajaingia ndani ya ukrain ....kursk ipo ndani ya urussi hivyo ni fursa kwa majeshi washirika kulitumia kujifunza vita na kupata uzoefu kivita ...urussi na kiduku watasikitika sana nato na ukrain wakiondoka kursk....ndiyo maana wanawalina asali taratibu

Wewe kumve ni mtupu kabisa wa maarifa.

Ukraine iliamua kuiteka Kursk ili kulazimisha vita vipiganwe ndani ya Russia. Kwa maana majeshi ya Russia yasingekuwa na uwezo wa kupigana ndani ya Russia na ndani ya Ukraine.

Urusi iliugundua huo mtego, ndiyo maana ikaamua kubakia kuendelea kupigana ndani ya Ukraine, na ndani ya Russia, ikaomba usaidizi wa majeshi ya North Korea.
 
Urusi inatamani sana kuirudisha Kursk, lakini imeshindwa
1738771172252.png

Ebu tazama hii ramani y kivita...Russia anashindwaje yaani ? Sumy ambayo ni hub ya kulisha walioko Kursk ipo chini ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Russia. Msijisahulishe, Warussia wanasema ni Rahisi kuivamiana kuingia Russia lakini ukitoka hai hai ni maajaliwa. Hawatanii...!

Kuruhusu NATO/Ukraine kukaa Kursk ni mkakati wa kisiasa na kidiplomasia ili halalisha unyakuaji wa maeneo zaidi ya Ukraine.
Sasa ruksa kuendelea kubisha utakavyo.
 
Back
Top Bottom