Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wewe umeshindwa nini kujiuliza kwanini hayo majeshi ya nje yapo kursk tu ....kwanini wakorea awajaingia ndani ya ukrain ....kursk ipo ndani ya urussi hivyo ni fursa kwa majeshi washirika kulitumia kujifunza vita na kupata uzoefu kivita ...urussi na kiduku watasikitika sana nato na ukrain wakiondoka kursk....ndiyo maana wanawalina asali taratibuShida nini mzee Urusi hadi anaomba msaada wa Majeshi kutoka nje ina maana hali ni ngumu hili haliitaji akili...mbona vitu vidogo tu vinakusumbua kichwa mazee shida nini..