Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

Your very stupid - hapa ulitaka kumaanisha nini? You cant speak /write neither english nor swahili. Mlete anayekusimulia ndo nimwelekeze. Kisha aje akuelekeze na wewe.
 
Inasemekana wanatumia mbinu za 1980s ila inasemwa wana morali na nidham sana.
 
Hii yangu imetoka Hindustan Times (Chombo kina miaka zaidi ya 110).Unapigana vipi na huna hela au humsikii Trump........ vita bila hela unapigana vipi.

Alicho fanya Russia ni kupunguza resources.
 
Ona timu Putin inavyotumia masaburi kufikiri badala ya ubongo! Hivi uko timamu wewe?
 
Hata mzungu ajui kuandika kiswahili .... kwa hiyo wewe una amini kuwa urussi kashindwa kuchukua eneo lake la kursk 😁😁😁 your very stupid
Vita siyo dini, ambayo inahitaji kuamini. Vita ni uhalisia. Inaonekana na inadhihirika.

Urusi inatamani sana kuirudisha Kursk, lakini imeshindwa. Imeomba msaada kwa Korea Kaskazini, nao wameshindwa.

Urusi ilitaka kuiteka Kiev, na kuiondosha Serikali ya wananchi, ilishindwa na kufurushwa vibaya, ikakimbilia mashariki.
 

Wewe kumve ni mtupu kabisa wa maarifa.

Ukraine iliamua kuiteka Kursk ili kulazimisha vita vipiganwe ndani ya Russia. Kwa maana majeshi ya Russia yasingekuwa na uwezo wa kupigana ndani ya Russia na ndani ya Ukraine.

Urusi iliugundua huo mtego, ndiyo maana ikaamua kubakia kuendelea kupigana ndani ya Ukraine, na ndani ya Russia, ikaomba usaidizi wa majeshi ya North Korea.
 
Urusi inatamani sana kuirudisha Kursk, lakini imeshindwa

Ebu tazama hii ramani y kivita...Russia anashindwaje yaani ? Sumy ambayo ni hub ya kulisha walioko Kursk ipo chini ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Russia. Msijisahulishe, Warussia wanasema ni Rahisi kuivamiana kuingia Russia lakini ukitoka hai hai ni maajaliwa. Hawatanii...!

Kuruhusu NATO/Ukraine kukaa Kursk ni mkakati wa kisiasa na kidiplomasia ili halalisha unyakuaji wa maeneo zaidi ya Ukraine.
Sasa ruksa kuendelea kubisha utakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…