badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za kishenzi.
Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.
Tazama hii video mwenyewe
Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.
Tazama hii video mwenyewe