Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

Attachments

  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    56.2 KB · Views: 2
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za kishenzi.

Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.

Tazama hii video mwenyewe

View attachment 2735351
Usizungumze vitu kwa ujumla, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya JK ni prof Janabi, huyu kasoma duniani huko miaka kibao. Huyu kasaidia mengi sana, kwa wale waliokutana nao. Huu ni mfano tu, ila wapo wengi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za kishenzi.

Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.

Tazama hii video mwenyewe

View attachment 2735351
Kwenye ile video akitaka watu wapige kelele kaweka Quran karibu kabisa, labda wajuzi watupe ufafanuzi zaidi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wanamapinduzi siku hizi hawasubirii uende nje ndio wakupindue.
Wewe ndie mtaji na ngao ukiwa nje ni rahisi sana kwa vibaraka kuvamia na kukurejesha.
Kinachowashinda ufaransa, ECOWAS ( Nigeria) kuivamia Niger ni mtaji walio nao wanamapinduzi wa kichwa Cha kibaraka wao wakivamia ni kuhatarisha uhai wa kibaraka wao.
Thus Wana kuwa wapole.
Hili mbinu ndio jeshi uitumia siku hizi.
Maana hata wakivamiwa kijeshi, wanamapinduzi wakamuua kibaraka wao wanakuwa wamefanya kazi bure
Kuandaa kibaraka mwingine wa kureplace fasta nafasi ni ngumu.
Hawa viongozi vibaraka imekuwa tatizo sugu
 
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za kishenzi.

Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.

Tazama hii video mwenyewe

View attachment 2735351
Hatq baba yake alikuwa freemasonry
 
Hatq baba yake alikuwa freemasonry
Freemason mungu wao ni lucifer ambaye ndiye mungu wa wazungu na waarabu hii ndiyo sababu watu weusi hatuendelei kwani tunaabudu mungu tusio mjua historia yake isipokuwa yale machache ya kwenye vitabu walivyotuletea.

Kwa kupitia freemason viongozi hawawezi kuweka maslahi ya Nchi zao mbele daima wataweka maslahi ya hiyo taasisi. Waislamu na wakristo wengi tupo outer cirlce na wazungu na waarabu wengi ndio inner circle
 
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za kishenzi.

Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.

Tazama hii video mwenyewe

View attachment 2735351
babu akirudi madarakan ntaiamin freemason kua ni noma. Ngoja tuone watamsaidiaje kondoo wao asikatwe kichwa.
 
Bora walivyompindua,pengine kutakua na mabadiliko sasa,,,maana nchi ilikua masikini hadi vijana wake wamekua mario kwa wazee wa kizungu inasikitisha sana,kizee kinatoka ulaya kinaenda Gabon kutafuta beach boys!
 
Back
Top Bottom