Freemason.Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za kishenzi.
Na pia ndugu zangu watanzania usimwamini msomi dokta au profesa aliyesoma ulaya kwa manufaa yako uhai wako na familia yako.
Tazama hii video mwenyewe
View attachment 2735351
Hayupo huko tena,Ali Bongo alishajiassociate na China ,Uk. Aliamua kuwapiga chini Wafaransa.Lugha wanayotumia ni kifaransa na ali bongo ni pupet na mtumwa wa wafaransa