Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

Usizungumze vitu kwa ujumla, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya JK ni prof Janabi, huyu kasoma duniani huko miaka kibao. Huyu kasaidia mengi sana, kwa wale waliokutana nao. Huu ni mfano tu, ila wapo wengi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ile video akitaka watu wapige kelele kaweka Quran karibu kabisa, labda wajuzi watupe ufafanuzi zaidi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawa viongozi vibaraka imekuwa tatizo sugu
 
Hatq baba yake alikuwa freemasonry
 
Hatq baba yake alikuwa freemasonry
Freemason mungu wao ni lucifer ambaye ndiye mungu wa wazungu na waarabu hii ndiyo sababu watu weusi hatuendelei kwani tunaabudu mungu tusio mjua historia yake isipokuwa yale machache ya kwenye vitabu walivyotuletea.

Kwa kupitia freemason viongozi hawawezi kuweka maslahi ya Nchi zao mbele daima wataweka maslahi ya hiyo taasisi. Waislamu na wakristo wengi tupo outer cirlce na wazungu na waarabu wengi ndio inner circle
 
babu akirudi madarakan ntaiamin freemason kua ni noma. Ngoja tuone watamsaidiaje kondoo wao asikatwe kichwa.
 
Bora walivyompindua,pengine kutakua na mabadiliko sasa,,,maana nchi ilikua masikini hadi vijana wake wamekua mario kwa wazee wa kizungu inasikitisha sana,kizee kinatoka ulaya kinaenda Gabon kutafuta beach boys!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…