Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

Waambie umeachishwa kazi na una madeni unadaiwa acha kua smart vaa rafu rafu, acha kuchana nywele ukiwa kitaa kama unazo. Mwanamke atakaekuganda muoe ila usifunge ndoa
Sasa mzee unawezaje kufake umeachishwa kazi wakati Kila j3 mpaka ijumaa saa 2 hadi saa 10 unakuwa uko bize? Na unawezaje kufake uko rafu rafu mtaani wakati asubuhi Huwa unaondoka umechomekea?
 
Tembeza mjegeje mzee baba. Mke hatafutwi atatokea tu katika mazingira na wakati ambao haukutarajia, kama ukiona una hitaji wa mke kwa sasa waambie wazee wakutafutie. Oa lakini usifunge ndoa.
 
Halafu hii kweli hata mimi siku nikiingia kiwanja nimejaa vibaamedi vinajileta leta kinoma, mara vijichekeshe kwa mambo ambayo hata hayachekeshi sema ndo wamenikuta mimi mwenyewe UWABATA hardcore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…