Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Ndoa ni Baraka vijana oeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na mke uliyempata.kama ana mikosi na laana sahau kuhusu kubarikiwaNdoa zinakukaga Na Baraka Sana vijana hamjuagi tu.....asilimia kubwa ya wanaume wanaoingia kwenye ndoa hua wanakua mafanikio Kulikov bachelors Mungu Hua anafungua milango ya Baraka
Usiangalie sura Na tako kubwa utampata mke mwemaInategemea na mke uliyempata.kama ana mikosi na laana sahau kuhusu kubarikiwa
Kuoa ni bahati hata usipoangalia hivyoUsiangalie sura Na tako kubwa utampata mke mwema
Sure mzee...ila ukiwa kapuku ni rahisi zaidi kupata mke boraKuoa ni bahati hata usipoangalia hivyo
ni kwenye taasisi sio halmasha
Hata kama ni taasisi ya serikali bado maisha siyo makubwa kihivyo, utawazidi kidogo tu watu wa Halmashauri, so ni kawaida tu.ni kwenye taasisi sio halmashaur
Unatafuta soko au 😂 🤣 😂🤣Ndoa ni Baraka vijana oeni
Kwa namna ulivyoelezea imeonekana ushapata ajira.Unataka kusemaje
Ww Bado sanaHata kama ni taasisi ya serikali bado maisha siyo makubwa kihivyo, utawazidi kidogo tu watu wa Halmashauri, so ni kawaida tu.
Wenye pesa ni wafanyabiashara wakubwa kjn.Ww Bado sana
There's levels to thisWenye pesa ni wafanyabiashara wakubwa kjn.
Wa lower std labdaSure mzee...ila ukiwa kapuku ni rahisi zaidi kupata mke bora
Mwanamke ni mwanamke tu.Wa lower std labda
Ni Hadi uwe na Mungu ndani mwako ili uwe na hizi tabia.Mwanamke ni mwanamke tu.
Std za mwanamke zinapimwa kwa level za:
Usafi,kujituma,Unyenyekevu, uvumilivu, ustahimilivu, usikivu, ukarimu na upole
TAKO KUBWA ni changamoto mno 🤣🤣 hasa ukiwa kijana, damu ikiwa inachemka.Usiangalie sura Na tako kubwa utampata mke mwema