Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

Mwanamke aliekufungia vioo na kukudharau wakati huna sio wa kuoa, nashauri kama hao ulionao wote walikuwa hivyo kabla hujapata kazi ni bora utafute Ke mwingine ambae huna historia nae yeyote.
 
Hongera sana, sasa ajira za serikali mishahara ya kuanzia ni midogo, hao wadada wanajipendekeza kitu gani nahuku maisha ya waajiriwa wa serikali ni ya kawaida tu.
ni kwenye taasisi sio halmashaur
 
Mwanamke aliekufungia vioo na kukudharau wakati huna sio wa kuoa, nashauri kama hao ulionao wote walikuwa hivyo kabla hujapata kazi ni bora utafute Ke mwingine ambae huna historia nae yeyote.
Hawa wanajipendekeza ni wengne, swali ni walikuwa wapi kipindi nipo jobless?
 
Habari,
Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje.

Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma.
Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya usafi, vitu ambavyo sikuwahi fanyiwa maisha yangu yote.

ilifikia hatua mpaka unaweza kuwaogopa wanawake na majibu Yao lakini saivi Kila mwanamke ni mpole na mcheshi kwangu mpaka nashangaa wamebadilikaje?

Kipindi nipo jobless nilikuwa napata sana tabu kupata wife material maana hata videmu nilivyokuwa navyo vilikuaa vinaniletea jeuri,kiburi na kutaka kuniendesha.

ila sasaivi Kila mwanamke ninayetoka naye anaonesha tabia zote kabisa za uwife material. Anakuwa mpole,mkarimu,msikilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu.
Mpaka Sasa nashindwa hata kuchagua mke.

Kipindi nipo jobless nilikosa wife material,ila saivi nashindwa Sasa kuchagua yupi ni more wife material.

Naombeni ushauri wakuu, nisije nikawa naigiziwa tu nikajiroga kuingia kwenye ndoa na jini mnywa mafuta.

Na kama wananiektia mapenzi tu kwa Sasa, nifanyaje kuwajua walio real na wanaofake?

Wazee mliotoboa Kabla hamjaoa mlifanyaje kuuruka huu mtego?
Nenda mbali na hapo mtaani
 
Ndoa zinakukaga Na Baraka Sana vijana hamjuagi tu.....asilimia kubwa ya wanaume wanaoingia kwenye ndoa hua wanakua mafanikio Kulikov bachelors Mungu Hua anafungua milango ya Baraka
 
Back
Top Bottom