Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

Sasa mzee unawezaje kufake umeachishwa kazi wakati Kila j3 mpaka ijumaa saa 2 hadi saa 10 unakuwa uko bize? Na unawezaje kufake uko rafu rafu mtaani wakati asubuhi Huwa unaondoka umechomekea?

Mimi si mzee..Akikuona smart unashindwa nini kumwambia unaenda kusikikizia ramani mahali ila usimtajie jina ni wapi?
 
Jandoni
 
Kuwa makini sana utaangukiwa madafu
 
Usiwape ela hata wakikuomba mara 5 usiwape then observe reaction zao
 
Kwenye wimbo wa
NICK MINAJ_ PILLS & PORTION Kuna mstari unasema
"""" People will love you & support you if there is beneficial"""

Kumbuka Hilo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…