Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

Mwanamke aliekufungia vioo na kukudharau wakati huna sio wa kuoa, nashauri kama hao ulionao wote walikuwa hivyo kabla hujapata kazi ni bora utafute Ke mwingine ambae huna historia nae yeyote.
 
Hongera sana, sasa ajira za serikali mishahara ya kuanzia ni midogo, hao wadada wanajipendekeza kitu gani nahuku maisha ya waajiriwa wa serikali ni ya kawaida tu.
ni kwenye taasisi sio halmashaur
 
Mwanamke aliekufungia vioo na kukudharau wakati huna sio wa kuoa, nashauri kama hao ulionao wote walikuwa hivyo kabla hujapata kazi ni bora utafute Ke mwingine ambae huna historia nae yeyote.
Hawa wanajipendekeza ni wengne, swali ni walikuwa wapi kipindi nipo jobless?
 
Nenda mbali na hapo mtaani
 
Ndoa zinakukaga Na Baraka Sana vijana hamjuagi tu.....asilimia kubwa ya wanaume wanaoingia kwenye ndoa hua wanakua mafanikio Kulikov bachelors Mungu Hua anafungua milango ya Baraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…