matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Bado ila nikipata nafasi nitafanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ila nikipata nafasi nitafanya hivyo
Sasa kama ulimpa balozi Jina na namba Yako, uende kujiandikisha mara mbili?Bado ila nikipata nafasi nitafanya hivyo
Niliambia kachukua, nitamuuliza anamaanisha nini. 😁😁Sasa kama ulimpa balozi Jina na namba Yako, uende kujiandikisha mara mbili?
Jina lako lishaandikwa na litapiga kura kumpa ushindi wamtakaye.
Unahisi awatokei? Watu wanahesabu ghost voteSasa utahesabu kura zipi ikiwa watu wa kupiga kura hawatokei🤔
Ni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya vinginevyo ni kupoteza muda huku unaona kabisa kuwa hapa nacheza tyr bado!Sasa mtamtoaje na hamjajiandikisha? Na hata mkimkataa, anaiba kura,
Njia mbadala ni ipi?
Tafuta ndugu au rafiki yako ambaye ni DED akupe ukweli, zoezi mpaka jana Halmashauri fulani Mkoani Pwani ni 48% ya matarajio.Maana yake nini mambo haya.
Mbona kiongozi wa sekta ya uandikishaji anadai mwitikio ni mkubwa sana. Nyie takwimu huwa mnazipata wapi?
Hao wa CCM wako wapi?Naona unajichekesha. Msipojiandikisha si ndio CCM itashinda kiulaini? Kwanini? Kwasababu wana mtandao wa wanachama hadi ngazi ya balozi. Wakipewa maelekezo wote wataebda kujiandikisha. Wapinzani ndio watakosa wapiga kura. Hivyo bora tu mjitokeze kujiandikisha na kupiga kura.
Sasa ushindi wa kishindo utatoka wapi ikiwa watu wengi hawajiandikishi?Hata wakijiandikisha watu buku tu, wanaitosha CCM kuibuka kidedea.
Mkuu siasa safi ni vitendo, kwa maana ya kuwafikia wananchi na shida zao. Hizi nadharia mahali pake ni humu jukwaani.Salaam, shalom!!
Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali"
Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai,
Viongozi wetu mkashindwa kujua kuwa kauli zenu ni sawa na kumshika mkono kipofu wakati mnamwibia chakula chake,
Matokeo ya kauli zenu, wananchi wamestuka, wamesusa,wamepuuza wamekaa pembeni.
Sasa Kuna Ile KANUNI ya ushindi wa mazingira, kuwa, wakijitokeza wapiga kura waliojiandikisha, unaongeza na za wizi Ili ionekane chama kimeshinda Kwa HAKI,
Sasa watu hawajiandikishi, wamegoma, mtaiba kura zipi ilhali watu hawajitokezi!!
Sasa uhalali wa kuongoza utatoka wapi ikiwa wananchi wamegoma kushiriki chaguzi sababu ya wizi na viburi vyenu?
Suluhu pekee iliyobaki mbeleni ni kubadili mgombea wa nafasi ya juu kuliko zote Ili angalau Nchi ipumue, chama kiendelee kuwepo japo Kwa miaka 10 ijayo, tofauti na hapo, yajayo...
Wana chi Si wajinga, mkae mkijua Hilo.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni 🙏
Kwamba unakataa kata kata CCM kamwe haijawahi kuiba kura Wala Kutoa RUSHWA.Mkuu siasa safi ni vitendo, kwa maana ya kuwafikia wananchi na shida zao. Hizi nadharia mahali pake ni humu jukwaani.
Huko kwenye vitendo mikoani na vijijini muda huu kuna michakato mingi tu ya ujenzi wa viwanda inaendelea kuna upatikanaji wa umeme karibu kila kona ya Tanzania, miradi ya maji inasambaa na mingine kumaliziwa.
Kibaya ni ingekuwa CCM wanaiba tu pesa bila ya kushughulika na shida za watu. Hawana sababu ya kuiba kura wakati kila siku wapo huko walipo wananchi na wanatatua shida zao.
Wanatoa rushwa na pia wanastahili kura zote wanazozipata. Mkuu sisi tunapiga kelele humu mitandaoni lakinj huko mtaani hali ni tofauti kabisa.Kwamba unakataa kata kata CCM kamwe haijawahi kuiba kura Wala Kutoa RUSHWA.
Apia!!
Kwamba Walio mitandaoni hawapo mitaani?Wanatoa rushwa na pia wanastahili kura zote wanazozipata. Mkuu sisi tunapiga kelele humu mitandaoni lakinj huko mtaani hali ni tofauti kabisa.
Jumla ya kura zilizopigwa ni 200, mgombea wa CCM kapata kura 190 sawa na 95%... hicho tayari ni kishindo.Sasa ushindi wa kishindo utatoka wapi ikiwa watu wengi hawajiandikishi?
Kijiji chenye watu 10,000, wakijitokeza watu 500 kujiandikisha, wakapiga kura watu 250, mgombea wa CCM akapata kura 150 na kutangazwa mshindi,Jumla ya kura zilizopigwa ni 200, mgombea wa CCM kapata kura 190 sawa na 95%... hicho tayari ni kishindo.
Hayo yote sio muhimu, hata hivyo CCM inahamasisha watu wajiandikishe...... huku vyama vingine vikishawishi watu wasiende.Kijiji chenye watu 10,000, wakijitokeza watu mia Tano kujiandikisha, wakapiga kura watu 250, mgombea wa CCM akapata kura 150 na kutangazwa mshindi,
Uhalali, legitimacy ya kuongoza hapo Iko wapi, haipo,
Haiwezekani mji wenye watu 10,000 mshindi achafuliwe na watu 150 pekee.
Kubali, kataa, chama kinaelekea mwisho wa uhai wake.
..sasa ulitegemea atasemaje.. kumbuka huyo ni mfanyakazi wa serikali aseme mwitikio haupo mi ccm imnyambishe? ila anajua kabsaa watu hawataki kujiandikishaMaana yake nini mambo haya.
Mbona kiongozi wa sekta ya uandikishaji anadai mwitikio ni mkubwa sana. Nyie takwimu huwa mnazipata wapi?
Bora mchukue mkiwa peke yenu wengine tuendelee na shughuli zingine lakini siyo tusimamishe shughuli kukaa foleni masaa 10 kisha anatangaza mumtakae tusije wafumua marinda bila hisiaEndeleeni kutojiandikisha halafu baadaye mje kuanza kulia lia pale CCM tutakapo beba na kuzoa kila kitu katika uchaguzi.