Wzo zuri but kwa TANZANIA 80% mpk 90% gari za TOYOTA ni used ambapo ni za miaka 10 nyuma mpk 20 nyingine Hadi 30 zinafika
asilimia zilizobaki ndo hununua mpya Direct toka Toyota ambapo ni SERIKALI na baadhi ya TAASISI/KAMPUNI binafs
ni watanzania wachache mno hununua gari mpya toka Toyota kwa ajili ya matumizi BINAFSI
So kwa Hilo utaona Kuna ugumu Fulani TOYOTA kufanya uwekezaji kwenye TIMU za TANZANIA kudhamini
Unless labda waje na mpango kabambe mno
Ama lah kwa SOKO la TANZANIA kwa mtu MMOJA MMOJA sidhani kama ni valuable kwao kama KAMPUNI amabayo inataka kuongeza PROFIT Kila mwaka ama ushawishi
Bado sana kama TANZANIA tuna safari ndefu
Serikali iache rundo za KODI za KINDEZI ili watu tununue BRANDENEW toka TOYOYA
View attachment 3058042