STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
Sisi makolo tumeuza timu kwa Bilioni 20 milele.Juisi za GSM zishajichukulia uzamini kwa miaka mitano kwa dsu la bilioni moja, hivyo basi haiwezekani
GSM ansjilipa kupitia juisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi makolo tumeuza timu kwa Bilioni 20 milele.Juisi za GSM zishajichukulia uzamini kwa miaka mitano kwa dsu la bilioni moja, hivyo basi haiwezekani
GSM ansjilipa kupitia juisi
Hauna uelewa kuhusu marketing brother Rudi shuleni. Watu hawatangazi popote Bali wanatangaza kwa target na sio mihemko. Walitangaza Africa kusini maana yake wamewalenga wateja wa south ambao kimsingi Kuna wanaunuaji kuliko tanzania. Tanzania Ni nchi maskini utaweka Tangazo la magari kumuuzia Nani? Wakati takwimu zinaonesha Kati ya watu 1000 Tanzania mmoja ndio anamiliki gari USED?Kwenye marketing huwezi kudhamini timu iliyofungwa 4-0 na kuiacha timu iliyofunga 4-0 timu uliyoidhamini. Lazima utafikiria namna kuweka tangazo lako kwenye hiyo timu imara. Kampuni imara na makini haiwezi kumdhamini mandonga kuwa ambassador wake na kumwacha Twaha Kiduku.
Kongole kwako kwa kuwapa simple lecture hawa waswahili wasiojua chochote zaidi ya mihemko tu kishabiki.Hauna uelewa kuhusu marketing brother Rudi shuleni. Watu hawatangazi popote Bali wanatangaza kwa target na sio mihemko. Walitangaza Africa kusini maana yake wamewalenga wateja wa south ambao kimsingi Kuna wanaunuaji kuliko tanzania. Tanzania Ni nchi maskini utaweka Tangazo la magari kumuuzia Nani? Wakati takwimu zinaonesha Kati ya watu 1000 Tanzania mmoja ndio anamiliki gari USED?
Wapumbavu kama kavulata hawawezi kukuelewa.Wzo zuri but kwa TANZANIA 80% mpk 90% gari za TOYOTA ni used ambapo ni za miaka 10 nyuma mpk 20 nyingine Hadi 30 zinafika
asilimia zilizobaki ndo hununua mpya Direct toka Toyota ambapo ni SERIKALI na baadhi ya TAASISI/KAMPUNI binafs
ni watanzania wachache mno hununua gari mpya toka Toyota kwa ajili ya matumizi BINAFSI
So kwa Hilo utaona Kuna ugumu Fulani TOYOTA kufanya uwekezaji kwenye TIMU za TANZANIA kudhamini
Unless labda waje na mpango kabambe mno
Ama lah kwa SOKO la TANZANIA kwa mtu MMOJA MMOJA sidhani kama ni valuable kwao kama KAMPUNI amabayo inataka kuongeza PROFIT Kila mwaka ama ushawishi
Bado sana kama TANZANIA tuna safari ndefu
Serikali iache rundo za KODI za KINDEZI ili watu tununue BRANDENEW toka TOYOYA
View attachment 3058042
Unajua Biashara ya Toyotaa mkuu? Anajua kwa Africa ni nchi ipi na ipi ni mteja mkubwa wa toyota? Pia tambua Toyota wateja wake ni wale wanao nunua Brand new na sio hii mitumba ya mwaka 2008. Kwa Africa Mashariki Kenya ni mtaje mkubwa wa Toyota na ndio maaba kuna centre ya ku assemble yotota.Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya Kaizer kuwa timu tishio kwenye ligi yao na hata kutwaa ubingwa au kuchisha nafasi ya pili kwenye ligi yao.
Wafanyabiashara wanapenda kuwekeza kwenye timu imara kama Yanga, wakijua kuwa watapata mileage kubwa ndani na nje ya nchi husika kama ilivyo Yanga ambayo ni bigwa Tanzania, inayoshiriki caf champions, yenye wachezaji wakubwa kama Aziz Ki na walioshinda Toyota cup, 2024.
TOYOTA ni kampuni kubwa sana sana duniani, tumieni fursa hii ya sasa kuomba udhamini wao, maana 98% ya magari yote Tanzania ni kutoka TOYOTA, uwezo wa toyota kuwakatalia ni mdogo sana. Waombeni kujenga uwanja wenu (TOYOTA Stadium).
Bado South ni soko lao kubwa kwa AfricaToyota South Africa hawadominant kama Tanzania.
South Africa kuna BMW, AUDi, Mercedes benz, Golf, VW and likes.
Kwahiyo kwa South Africa ni sahihi kukaza msuli ili aweze kushindana na hizo kampuni.
yes, Bongo bado sana tuache kujipa matumanuini hewaTOYOTA HAWEZI KUWEKEZA TANZANIA KWA NAMNA YOYOTE ILE. LABDA KENYA. KAMPUNI ZA NJE ZINATAKA NCHI ZENYE PURCHASE POWER KUBWA KWA TANZANIA NINDOGO SANA. KWA NCHI MASKINI KAMA TANZANIA TOYOTA KUWEKEZA NIUONGO WANAYANGA ACHENI MAWAZO MGANDO
Udhamini wa Toyota
1.Wachezaji waweze kukopeshwa au kuuziwa gari mpya kabisa toka Toyota
Mwakani wiki ya mwananchi waitafutie Mdhamini mkuu iwe km vile Toyota Cup
We jamaa unaota. Sikiliza watu wakikuelewesha ili urudi katika uhalisia.Amina. Yanga waandike concept paper na kuiwalisisha Toyota wakionyesha kuwa Tanzania Kuna ongezeko ya brands nyingine za magari kama vile Nissan, Suzuki, Subaru, Hyundai, BMW, VW, TATA, nk zinazotishia soko la Toyota. Hivyo.........
Kwahiyo Kenya Kuna timu inayodhaminiwa na Toyota? Unaongea uzembe TU. Marketing inafanyika zaidi mahali ambapo hukubaliki au hutambuliwi uwepo au ubora wako.Unajua Biashara ya Toyotaa mkuu? Anajua kwa Africa ni nchi ipi na ipi ni mteja mkubwa wa toyota? Pia tambua Toyota wateja wake ni wale wanao nunua Brand new na sio hii mitumba ya mwaka 2008. Kwa Africa Mashariki Kenya ni mtaje mkubwa wa Toyota na ndio maaba kuna centre ya ku assemble yotota.
South Africa ni mteja mkuu wa Toyota kwa Africa so anavyo Dhamini wakina timu za South anamanisha.
Naunga mkono hojaWazo zuri.
Ok basi waende Burundi, tatizo mna apply Civics Kwenye mambo yanayo hitaji utalamu. South Africa ni soko lao kuu kwa Africa lazima warudisje Shukurani, unataka warudishe shukurani Tanzania kwa lipi hasa? unataka wakaweke pesa sehemu ambapo hakuna wateja wao na purchasing power iko Chini? Shida ya Tanzania sio kwamba watu hawaijui Toyota ni Puchasing power iko chini. Purchsing power haiwezi pandishwa kupitia udhamini wa mpira.Uji
Kwahiyo Kenya Kuna timu inayodhaminiwa na Toyota? Unaongea uzembe TU. Marketing inafanyika zaidi mahali ambapo hukubaliki au hutambuliwi uwepo au ubora wako.
Shida ni machimbo au uwezo? kwa hio kwa akili zako unaona Tatizo la Tanzania kuto nunue Brand New ni hawaijui Toyota hivyo wanahitaji kutangaziwa Toyota inafanana je.Kwahiyo Toyota hataki kabisa kutafuta machimbo mengine nje ya South Africa?
Ndivyo unavyo jidanganya? Nchi imejaa wajinga hii,Uhalisia wa kijinga, Yanga nendeni kaombe udhamini Toyota, hamtarudi bure.
Li
maana 98% ya magari yote Tanzania ni kutoka TOYOTA
Kama Dau kubwa CRDB anatoka tu mbn easyCRDB si ndiyo mdhamini mkuu kwa miaka 2 sasa?
We jamaa unaota. Sikiliza watu wakikuelewesha ili urudi katika uhalisia.
kWAAKILI yako unadhani Toyota hawajui kuwa serikali ya Tanzania inaweza kuacha kutumia magari ya TOYOTA na kugeukia Nissan, BMW, benz au Mahindra?. Ninachojua mm Toyota haidhamini timu hapa kwakuwa hakuna timu imeenda kuomba udhamini huko lakini sio kwasababu ya purchasing power yetu ni ndogo. Yanga kulichukua kombe la TOYOTA wameingia kwenye database yao, ni rahisi kufanya biashara na toyota.Shida ni machimbo au uwezo? kwa hio kwa akili zako unaona Tatizo la Tanzania kuto nunue Brand New ni hawaijui Toyota hivyo wanahitaji kutangaziwa Toyota inafanana je.
Wanapeleka pesa kule ambako kuna watu wanawapa pesa. Mnapenda sana kudanganyana