Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

kWAAKILI yako unadhani Toyota hawajui kuwa serikali ya Tanzania inaweza kuacha kutumia magari ya TOYOTA na kugeukia Nissan, BMW, benz au Mahindra?. Ninachojua mm Toyota haidhamini timu hapa kwakuwa hakuna timu imeenda kuomba udhamini huko lakini sio kwasababu ya purchasing power yetu ni ndogo. Yanga kulichukua kombe la TOYOTA wameingia kwenye database yao, ni rahisi kufanya biashara na toyota.
Huna unacho jua mjinga wewe
 
Toyota hawawezi kutoa dau hilo kwa soko letu labda kina Mwigulu watumie influence yao kisiasa kulisukuma kwa mgongo wa mauzo ya magari ya serikali.
Hahahahaha, sawa sawa na kingine naona watanzania wachache wanaonunua Toyota mpya ,wengi ni used, ukiacha serikali
 
Hahahahaha, sawa sawa na kingine naona watanzania wachache wanaonunua Toyota mpya ,wengi ni used, ukiacha serikali
Hamna akili ya biashara ni heri mkae kimya. Unaweza kununua gari used lakini ukanunua spea mpya na vilainishi vipya vya toyota bado Toyota akapata hela nyingi tu kwako. Mimi sijawahi kuona plugs na vilainishi vya toyota used.
 
Wauzie wazo si mbaya wewe mwenye akili ya biashara
 
Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya Kaizer kuwa timu tishio kwenye ligi yao na hata kutwaa ubingwa au kuchisha nafasi ya pili kwenye ligi yao.

Wafanyabiashara wanapenda kuwekeza kwenye timu imara kama Yanga, wakijua kuwa watapata mileage kubwa ndani na nje ya nchi husika kama ilivyo Yanga ambayo ni bigwa Tanzania, inayoshiriki caf champions, yenye wachezaji wakubwa kama Aziz Ki na walioshinda Toyota cup, 2024.

TOYOTA ni kampuni kubwa sana sana duniani, tumieni fursa hii ya sasa kuomba udhamini wao, maana 98% ya magari yote Tanzania ni kutoka TOYOTA, uwezo wa toyota kuwakatalia ni mdogo sana. Waombeni kujenga uwanja wenu (TOYOTA Stadium).
HILI NI WAZO ZURI SANA LINAPASWA KUFANYIWA KAZI NA UONGOZI.
 
Back
Top Bottom