Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

Hauna uelewa kuhusu marketing brother Rudi shuleni. Watu hawatangazi popote Bali wanatangaza kwa target na sio mihemko. Walitangaza Africa kusini maana yake wamewalenga wateja wa south ambao kimsingi Kuna wanaunuaji kuliko tanzania. Tanzania Ni nchi maskini utaweka Tangazo la magari kumuuzia Nani? Wakati takwimu zinaonesha Kati ya watu 1000 Tanzania mmoja ndio anamiliki gari USED?
 
Kongole kwako kwa kuwapa simple lecture hawa waswahili wasiojua chochote zaidi ya mihemko tu kishabiki.

Mtu anafikiri eti kupata matokeo mazuri kwenye michuano ya mchangani ndio kigezo pekee cha kufanya global brand kama Toyota kuwapa endorsement deal. Ufahamu wa watu ni mdogo sana wasichokijua hata sera za kiuchumi za nchi husika zinachangia pakubwa sana maana ndio zina amua purchasing power ya watu na ukubwa wa customers base ya bidhaa husika..... na hawawezi kuja kuwekeza kwenye nchi ya walala hoi kama hii ambayo ni 5% ya wakazi wake ndio wana uwezo wa kuafford kununua gari.
 
Wapumbavu kama kavulata hawawezi kukuelewa.
 
Unajua Biashara ya Toyotaa mkuu? Anajua kwa Africa ni nchi ipi na ipi ni mteja mkubwa wa toyota? Pia tambua Toyota wateja wake ni wale wanao nunua Brand new na sio hii mitumba ya mwaka 2008. Kwa Africa Mashariki Kenya ni mtaje mkubwa wa Toyota na ndio maaba kuna centre ya ku assemble yotota.

South Africa ni mteja mkuu wa Toyota kwa Africa so anavyo Dhamini wakina timu za South anamanisha.
 
Uto kama uto kwenye ubora wake.
Kaiza wabovu tena wabovu aswaaa.wangecheza hata na namungo wangefungwa.
 
TOYOTA HAWEZI KUWEKEZA TANZANIA KWA NAMNA YOYOTE ILE. LABDA KENYA. KAMPUNI ZA NJE ZINATAKA NCHI ZENYE PURCHASE POWER KUBWA KWA TANZANIA NINDOGO SANA. KWA NCHI MASKINI KAMA TANZANIA TOYOTA KUWEKEZA NIUONGO WANAYANGA ACHENI MAWAZO MGANDO
yes, Bongo bado sana tuache kujipa matumanuini hewa
 
Udhamini wa Toyota
1.Wachezaji waweze kukopeshwa au kuuziwa gari mpya kabisa toka Toyota

Mwakani wiki ya mwananchi waitafutie Mdhamini mkuu iwe km vile Toyota Cup

CRDB si ndiyo mdhamini mkuu kwa miaka 2 sasa?

Amina. Yanga waandike concept paper na kuiwalisisha Toyota wakionyesha kuwa Tanzania Kuna ongezeko ya brands nyingine za magari kama vile Nissan, Suzuki, Subaru, Hyundai, BMW, VW, TATA, nk zinazotishia soko la Toyota. Hivyo.........
We jamaa unaota. Sikiliza watu wakikuelewesha ili urudi katika uhalisia.
 
Uji
Kwahiyo Kenya Kuna timu inayodhaminiwa na Toyota? Unaongea uzembe TU. Marketing inafanyika zaidi mahali ambapo hukubaliki au hutambuliwi uwepo au ubora wako.
 
Uhalisia wa kijinga, Yanga nendeni kaombe udhamini Toyota, hamtarudi bure.
CRDB si ndiyo mdhamini mkuu kwa miaka 2 sasa?


We jamaa unaota. Sikiliza watu wakikuelewesha ili urudi katika uhalisia.
Li
 
Uji

Kwahiyo Kenya Kuna timu inayodhaminiwa na Toyota? Unaongea uzembe TU. Marketing inafanyika zaidi mahali ambapo hukubaliki au hutambuliwi uwepo au ubora wako.
Ok basi waende Burundi, tatizo mna apply Civics Kwenye mambo yanayo hitaji utalamu. South Africa ni soko lao kuu kwa Africa lazima warudisje Shukurani, unataka warudishe shukurani Tanzania kwa lipi hasa? unataka wakaweke pesa sehemu ambapo hakuna wateja wao na purchasing power iko Chini? Shida ya Tanzania sio kwamba watu hawaijui Toyota ni Puchasing power iko chini. Purchsing power haiwezi pandishwa kupitia udhamini wa mpira.

Msiwe mnatumia civics kwenye mambo ambayo hamna uwezo nayo.
 
Kwahiyo Toyota hataki kabisa kutafuta machimbo mengine nje ya South Africa?
Shida ni machimbo au uwezo? kwa hio kwa akili zako unaona Tatizo la Tanzania kuto nunue Brand New ni hawaijui Toyota hivyo wanahitaji kutangaziwa Toyota inafanana je.

Wanapeleka pesa kule ambako kuna watu wanawapa pesa. Mnapenda sana kudanganyana
 
maana 98% ya magari yote Tanzania ni kutoka TOYOTA

Bajaji na bodaboda ndiyo 'gari' za Tanzania, tofauti na Afrika ya Kusini hakuna bajaji wala bodaboda huku nchi hiyo pia ikisifika kwa kuwa soko la magari ya ukweli kwa nchi za SADC.
 
Shida ni machimbo au uwezo? kwa hio kwa akili zako unaona Tatizo la Tanzania kuto nunue Brand New ni hawaijui Toyota hivyo wanahitaji kutangaziwa Toyota inafanana je.

Wanapeleka pesa kule ambako kuna watu wanawapa pesa. Mnapenda sana kudanganyana
kWAAKILI yako unadhani Toyota hawajui kuwa serikali ya Tanzania inaweza kuacha kutumia magari ya TOYOTA na kugeukia Nissan, BMW, benz au Mahindra?. Ninachojua mm Toyota haidhamini timu hapa kwakuwa hakuna timu imeenda kuomba udhamini huko lakini sio kwasababu ya purchasing power yetu ni ndogo. Yanga kulichukua kombe la TOYOTA wameingia kwenye database yao, ni rahisi kufanya biashara na toyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…