Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

Huna unacho jua mjinga wewe
 
Toyota hawawezi kutoa dau hilo kwa soko letu labda kina Mwigulu watumie influence yao kisiasa kulisukuma kwa mgongo wa mauzo ya magari ya serikali.
Hahahahaha, sawa sawa na kingine naona watanzania wachache wanaonunua Toyota mpya ,wengi ni used, ukiacha serikali
 
Hahahahaha, sawa sawa na kingine naona watanzania wachache wanaonunua Toyota mpya ,wengi ni used, ukiacha serikali
Hamna akili ya biashara ni heri mkae kimya. Unaweza kununua gari used lakini ukanunua spea mpya na vilainishi vipya vya toyota bado Toyota akapata hela nyingi tu kwako. Mimi sijawahi kuona plugs na vilainishi vya toyota used.
 
Wauzie wazo si mbaya wewe mwenye akili ya biashara
 
HILI NI WAZO ZURI SANA LINAPASWA KUFANYIWA KAZI NA UONGOZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…