Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Wenye hotel wana maswali mengi ya kujibu juu ya mfumo wao wa security otherwise hiyo hotel iñakwenda kujifia natural death, siwezi kwenda hotel kama hiyo.
Yawezekana ni among the team of the Abduction Squad.

Haiwezekani hata kidogo Mteja wao anafanyiwa vile mchana kweupe halafu wao wasichukue Hukumu lolote lile la kiusalama dhidi tukio hilo. There must be something that is hiding behind.
 
Log out mnyamwezi umemaliza
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Wasenge nchi hii hamuwezi kuisha kwa KUWA mabasha zenu bado wapo. Kama amepiga tukio na tayari wameshamfikia kwa nini hawakutoa vitambulisho na kumjulisha kosa lake? Ok hiyo haitoshi basi ameenda na pingu mpaka kituoni kwa nini polisi wasimshiikilie make tayari wameshampata kajipeleka kituoni. Nchi imekuwa na wasenge kiasi mpaka inakereka.
 
Wenye hotel wana maswali mengi ya kujibu juu ya mfumo wao wa security otherwise hiyo hotel iñakwenda kujifia natural death, siwezi kwenda hotel kama hiyo.
Wengine tushazoea kuishi maisha ya Kaburu hao jamaa sijui ingetokea nini mpaka leo yaani watu wanataka kukuua harafu niwe busy na mahakama hapana aisee..
 
Hivi hawajamaa hawakamatwa tu? hivi bado wameonekana wazi na hawajakamatwa kama ndio lingetokea tu bila kupigwa picha si shida? IGP kama jahazi limekushinda aachia ngazi. Hawa jamaa wasipokamatwa rasmi nitaamini kuna genge la polisi ndani ya polisi.
 
View: https://x.com/gery_Teacher/status/1856875835971481776?t=8rpQGG3twu-H1lEukn8pyg&s=09
 
Aiseee.... Ukiwa Bonge sometimes kumbe inasaidia sana.... Jamaa mwili wake umempa sapoti sana....

Inasikitisha kwamba alikosa msaada wa majirani na Eneo hilo.... Wale Wamama wangepiga hata ukunga ili kuomba msaada...
Tembea na machete
 
Mbona huyu deo hatuambii nini walichogombana nae kuna stori anaficha sio kweli kuwa wanamuonea na tujue je ni mambo ya siasa au dili za mjini .usikute wote wahalifu.
Akizungumza wanakwambia anaharibu uchunguzi au wewe hujui?.
 
Kweli
 
Aiseee.... Ukiwa Bonge sometimes kumbe inasaidia sana.... Jamaa mwili wake umempa sapoti sana....

Inasikitisha kwamba alikosa msaada wa majirani na Eneo hilo.... Wale Wamama wangepiga hata ukunga ili kuomba msaada...
Ni ngumu wale walikuwa ni polisi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…