Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

Hapo nilipobold hapo, hebu tujadili namna ya kuset hizo plans maana hakuna kitu kibaya uzeeni kama upweke
Mkuu,

Kama mwanaume unatakiwa kuwa na Akaunti yako ya Siri ya benki ambayo unaweka fedha za emergency kwa maisha yako wewe mwenyewe tu.

Hii inakuwa ni special for you.

Hata wife, watoto, wazazi wako wasifahamu.

Yani kiasi kwamba hata ikatokea mka achana, kwenye mgao wa mali Akaunti yako hii isifamike na yeyote yule.

Maana siku zote watoto watakuwa upande wa Mama kumsapoti.

Mwanaume lazima uwe na fungu lako la kujisapoti mwenyewe wakati wowote ule wa dharura.
 
Ni hivi mwanaume unatakiwa Kuwa mguu ndani mguu Nje,usiweke Nguvu kubwa Kwa mwanamke na Kwa jinsi Baadhi Yao walivyo maana pia huwezi wajua ,ni Bora ujiwekee akiba ya peke yako Ili kuja Kukabiliana na mambo kama haya huko uzeeni.

Mali zinashukiliwa na nani Kwa Sasa? Hapo pia najifunza kwamba ni Bora kuwa na mahusiano mema na ndugu zako woote lazima Kuna mmja atakusaidia.

Mwisho kwenye hao Watoto kama Kuna Wanaume basi wajiandae the same Destiny na watakuwa ni wapumbavu wa Haki ya Juu ila kama ni Wanawake tupu basi sio kesi.
 
Ukifa je?🤔
 
Sasa kama Mali ipo kama hizo nyumba hilo la kudanga inakuaje?
 
Wanaume wapo watatu na binti mmoja. Hawa wanaume wawili wametokomea , huyu mmoja ambaye ni wa mwisho kawa mwizi kibaka hatari huyu binti yeye kidogo alionesha msaada kwa babake wakati anaugua ila baada ya muda binti nae kasepa na anatembea na umeme so ameenda kusambaza mbele ya safari huko

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Jengine kuwa na mazoea ya mawasiliano na kusalimia ndugu,hawatakutupa wote walau Ukiwa na kitu ila sio kutegemea hao mashetani
 
Sasa hao wanaoitwa wanaume ni matakataka.

Omba uhai yatawakuta vile vile maana wataoa wanawake harafu tuone.

Wanaume wanaoweza kutelekeza wazee Huwa nawaona ni matakataka,unaiga nyendo za mwanamke wakati na wewe ni mwanaume? Yaani uko kwenye mtegeo huo huo unategemea Simba atakuokoa? Niko palee utakuja kuona majibu.

Achana na huyo kibaka ila hao wengine si Wana uwezo wa kumleta Mzee wao?
 
Ukifa je?🤔
Kufa kupo tu.

Ukifa umekufa, Na hutajua chochote kile kinacho endelea.

Kwanza Haupo tena,hizo hela hata zikipotelea huko hujui.

Kwani wangapi wanakufa na Hela zao wana enjoy wengine?

Cha msingi hapa ni kwamba mwanaume jitengee fungu lako
binafsi la emergency.

Watoto siku zote wapo upande wa Mama.
 
Hivi visa mbona mnatuogopesha sisi vijana tunaotaka kuoa au n story za Kutunga Ili kuendeleza Campaign ya kukataa ndoa
Unaogopa kwani Kwa wazazi wako huoni kinachoendelea kati ya Baba na Mama? Na Kwa taarifa Yako tuu walau familia maskini Huwa zinaishi vizuri Hadi mwisho kuliko Zenye Mali.

Iko hivi mwanamke Yuko radhi mwanaume asiwe na Mali akiamini ndio atapendwa yaani awe na hela ndogo za jasho zaidi.

Akipata pesa nyingi anaamini mwanaume atakuwa anahonga wanawake wengine hivyo yeye Yuko kwenye threat na

Mwisho kwake Kuna ma 2 Bora mkose wote au akumalize abakie na Mali na Watoto wake.

Kinyume na hapo ni Neema tuu kulingana na Moyo wake but wao ni wepesi wa kubadilika Kwa influence ya jamii(wenzie).
 
Hizi story za mashoga na wasagaji wakataa ndoa. Siyo za kuziendekeza.
 
Kuna vikundi vinalipwa kabisa kueneza huu uongo, mashoga wasagaji wanakuja kivingine.

Tuwe makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…