maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,874
Yes lazma ukubali matokeo mkeka umechanikaBet lost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes lazma ukubali matokeo mkeka umechanikaBet lost
Mwanamke ambaye ameshazaa akiwa kwenye shida anamchukia Sana jamaa aliyemzalidha.
Akishakuwa kwenye raha anakumbuka ya zamani.
Na watoto atarudi kuwazaa na baba wa mwanzo tu.
Wazazi wake nao walikuficha kuhusu Binti Yao dah ...Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Jamaani pole sana.....enheeeei kwa hiyo upo single.......😎😎.Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Hata ikitokea nikahitaji sio wa kuzoana bar au mitandaoni.Kumbe hujazaa bado! Uko tayari kuolewa na aliye na mtoto? 😂
Haya hayawezi nikuta.am too old for that.Hujatujua vizuri sisi,yaani mwanamke ambaye siyo wife material, mtegeshee aolewe,akishaolewa,unamdanganya kua yaani ungekuwa haujaolewa,ningekuoa mimi,hii itamfanya aamini kua huyu mwanaume,angenioa,tatizo nshaolewa,mwanaume anaendelea kumuweka kama mchepuko tu.Mwingine atakwambia,ningekuoa,tatizo una mtoto,babaake anaweza kukurudia,halafu akikwambia hivyo,anaendelea kukufanya mchepuko.Mbinu hizo zinawapumbaza wadada,wawe michepuko ya kudumu,miaka na miaka.Amka mwanamke,amka.
Jikaze mpendwa nyama zipo chini endelea kunywa mtori.Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Ohoooo....! Kweli ndege wasiofanana.... 🤣Hata ikitokea nikahitaji sio wa kuzoana bar au mitandaoni.
Single mother anetakiwa kuolewa ni yule mwenza wake aliefariki tu 😁😀
Alafu mwanamke ambaye mwanaume mwenzio kamshindwa ussijidanganje kuwa wewe mjanja kuliko huyo mwengine. Utakuja kuumia tuu.Kati ya wanawake 100 waliozaa kabla ya kuolewa ni chini ya 5 wanaachana kabisa na wapenzi wao waliowazalisha.
Nao itategemea huko aliko anapata Nini.
Akipigwa stress tu anarudi.
In short , usioe mke wa mtu.
Yaani hata aliyebikiriwa na mtu mwingine hatukupaswa kuoa.
Sembuse aliyezalishwa;!
Damu nzito Sana. Mkishaunganisha DNA zenu kutoa mtu mwingine hamuwezi kuachana kirahisi