EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 502
- 461
U tag huo uzi au unaitwaje?Kuna Uzi wangu maalum niliuandika khs ilo waeza utafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U tag huo uzi au unaitwaje?Kuna Uzi wangu maalum niliuandika khs ilo waeza utafuta
Duuh chief ulikuwa una maamuzi ya kiume.Achana nae chap mkuu mimi nilizaa nae na mtto nikatoa na mahali mamilioni ya pesa baada ya kujua ana mtoto mwigine wa miaka Saba zoezi la ndoa likasitishwa na mtoto wangu nikamchukua akakae na mama yangu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukifa tena unafufuka then una umwa tena.
Au sioNi kupelekeana moto tuuu mrembo.
Me naona ww una akili za kitoto kweli kweli kwa hiyo baba ako ndo kichwa na moyo wako.Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Wakuu

Naombeni ushauri
Wee mpe uno huyo jamaa mwenye mihela mpaka akojowe ubongo😂😂😂😂Au sio
Kumwambia mama watoto nina goli moja la ujanani😂😂😂Sijaelewa nieleweshe
Sex sio tatizo mkuu. Shida inakuja aliziba macho na masikio yote. So alimpenda sana kwahyo mengine hakuyazingatia. Ye aliwaza amuweke ndani tu.Inamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?
Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?
Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.
Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
Kuna single mother wengine hawajielewi kabisa. Kuna mtoto wa kaka alioa single mother bila kujua maana hakuambiwa. Amekuja kujua baada ya yule mwanamke kuanza vitibwi, kumbe karudiana na baba mtoto wake. Sasa hivi ndoa imevunjika kaenda kuishi na baba watoto wake wa kwanzaAchana nae chap mkuu mimi nilizaa nae na mtto nikatoa na mahali mamilioni ya pesa baada ya kujua ana mtoto mwigine wa miaka Saba zoezi la ndoa likasitishwa na mtoto wangu nikamchukua akakae na mama yangu
Chukua Ushauri huu. Ata wewe kama ulishawaht*mba nje kavu utajuaje kama uliacha Mtoto kisha akapewa MTU mwingine bila kujua.Oa Bwana mdogo acha kelele.Hata wewe kuna vitu umemficha.Chukua chuma hiko na maisha yaendelee.
Kwenye mahusiano tunaanza na uongo na baada ya miaka 20 ndani ya ndoa ndo utajua ukweli kwa hatua fulani wakati wingine ni mpaka mmoja afe ndo utajua au atajua.
Fiksi ni sehemu ya maisha ili yaendelee
Single mother no single mother tu ila kama alificha detail muhimu hivo kisa anataka ndoa basi kamati inabidi iundwe.USHAURI WANGU Mweleze ukweli kwamba upendo umekata na umtake yeye ndio ajikatae.YAANI YEYE AKATAE NDOA ATAFAUTE SABABU YOYOTE ILE ASEME HATAKI KUWA NA WEWE.Akilazimisha ahirishe ndoa kwa miaka mitatu+ kama hamuishi wote usianze kuishi naye.Ikitokea amaekusubiri kwa 3+ years na wewe hujatokea kumpenda mwanamke mwingine basi OA tu ila hakikisha unampenda na sio kumhurumia.Kama humpendi move on ila usifanye drama yoyote kwa sababu tu ya yeye kuwa na mtoto kwani hujui situation yake wala huna details za kutosha kumhusu mtoto.Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,
1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?
Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida
Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
😂😂 SawaWee mpe uno huyo jamaa mwenye mihela mpaka akojowe ubongo😂😂😂😂
Kwahyo mnataka kushindana na sisiDuuh ninyi si ndio mnasemaga maisha bila uongo hayaendi sasa mbona mkuki kwa nguruwe kwa binadamu umekuwa mchungu tena
Pole sana mkuu Ikawaje mkuu.. Na mahari hawakurudisha ?Achana nae chap mkuu mimi nilizaa nae na mtto nikatoa na mahali mamilioni ya pesa baada ya kujua ana mtoto mwigine wa miaka Saba zoezi la ndoa likasitishwa na mtoto wangu nikamchukua akakae na mama yangu
Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Bado huo ni uchumba tu kwa vile umegundua hilo ni afadhali kuachana naye ila tumia ustarabu maana ni afadhali kuachana kwenye uchumba kuliko ukifunga naye ndoa huwa haiwezekani kuachanaWakuu