Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

kuna manzi tuliachana miaka 2 nyuma akaja akaolewa na jamaa mmoja ivi Tabora .na huyo manzi aliolewa akiwa na mtoto wangu

muda wote huo sijawahi kuwasiliana nae (niliweka heshima)


sasa juz kati nimekutana nae mwanza ndan ya daladala kashtuka na mm nikashtuka story za hapa na pale nikagusia kuhusu mwanangu akajibu yuko poa


Nikamuomba tukifika kisesa nimpe hela amnunulie dogo nguo akaitikia hayaa (ya puani lakini kuashiria hata nisipofanya vile poa tuu)


Kufupisha story tulikumbushia matukio ya nyuma tukajikuta tupo lodge na ni mke wa mtu.


nachokumbuka alisisitiza amekubali nimchakate kwa sbb alimic moments za nyuma.


NB: nilimwagia ndani tena.
Nikisomaga comments za hivi namshukuru Mungu sana kwa kusababisha nishindwane na yule mwanamke
 
Dah tukisema wanawake mashetani wanatupiga mawe humu ndani kumbe ukweli wenyewe ndio kama hivi.
Wacha hizo mwamba! Kwani huyo jamaa yeye kaweka mambo yake yote hadharani? Hata sisi wanaume ni mashetani tu! Huyo bwana kama alipenda boga apende na ua lake full stop!
 
Achana nae chap mkuu mimi nilizaa nae na mtto nikatoa na mahali mamilioni ya pesa baada ya kujua ana mtoto mwigine wa miaka Saba zoezi la ndoa likasitishwa na mtoto wangu nikamchukua akakae na mama yangu
 
Wacha hizo mwamba! Kwani huyo jamaa yeye kaweka mambo yake yote hadharani? Hata sisi wanaume ni mashetani tu! Huyo bwana kama alipenda boga apende na ua lake full stop!
Sawa ata sie mashetani....ila huyu mwanamke kwa nini asimwambie jamaa kuwa tayari ni single maza?

Anyways lawama ziwaendee wazazi wanao kubali kulea wajuku zao huku watoto wao wakiendelea kutembeza vitumbua huko mujini
 
Wakuu

Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa

Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha

Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie

Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni

Naombeni ushauri.
Weka namba yake mabaharia waruke nae

Cha wote huyo oooho utajiponza
 
Usipepese macho wala kusubiri siku ya leo iishe muambia sikuwa na ndoto ya kuoa mwanamke mwenye mtoto na kwa namna yoyote sitaweza kuishi naye ungeniambia hili mapema nisingwfuka na wewe hapa tulipofika. Samahani hatuwezi kuendelea nakutakia kila jema. Hakikisha humuoi ndoa itakuwa na vita ukishasita hivi.
Fuata huu ushauri uliopewa na mwanamke mwenzake
 
Alikosea kuficha toka mwanzo ila cheki na moyo wako. Binafsi nimeona single mothers wengi tu wameolewa na maisha yanaenda freshi. Hizo habari za hawezi muacha mzazi mwenza ni dhana tu ambayo watu wengi wanayo dhidi ya single mommas.
Kama unampenda we oa. Mtoto abaki huko huko alikokuwa siku zote.
Weee kumbe hauwajui hawa viumbe mkuu

Muda wooote huo hajamwambia chochote alikua anasubiri nini?
 
Kaka unaweza ukafanya yote hayo lakini ndani ya ndoa akakutibua hadi ukabaki unashangaa.

Rafiki yangu anampenda sana mkewe, wamebarikiwa watoto wawili. Jamaa kasafiri nje ya nchi mwaka mmoja na nusu karudi mkewe ana mimba kuuuuubwa ya karibia kujifungua na hivi tunavyoongea alishajifungua yupo kwao kwa wazazi wake anaomba msamaha kwa mumewe arudi maisha yaendelee.

Ni kuomba Mungu tu
Hii scenario ikikutokea unaweza kuhisi unaota
 
Muombe MUNGU.

Wakati mwingine wanawake wanakuwa kwenye changamoto ya kusema ukweli Kwa kuogopa kuachwa.

Na mara nyingi mwanamke akikupenda Sana ni rahisi kukudanganya Kwa kuhofia matokeo ya kuachwa.
Ila Kama hakupendi kivile anaweza kukuambia ukweli kwani haugopi matokeo.

Hapo cha kufanya,
Sitisha zoezi la ndoa Kwanza, kaa miezi walau sita akili itakuwa imepata uamuzi sahihi.

Kumuacha sasa hivi au kuendelea naye sasa hivi hayatakuwa maamuzi sahihi.

Hata hivyo mahusiano siku zote ni Chemistry baina ya watu wawili. Kama kuna kuelewana na mlikuwa mnaenjoy basi maamuzi unayo.

Single Mother sio Wabaya Ila nature ya wanawake ndio inawafanya wawe Wabaya.
Wanawake linapokuja suala la mtoto au mtu anayempenda hawana muda wa kufikiri mambo mara mbili.

Kama alikuwa anampenda mshikaji aliyemzalisha na haikuwa mimba ya bahati mbaya basi hapo kazi unayo
Na mara nyingi mwanamke akikupenda Sana ni rahisi kukudanganya Kwa kuhofia matokeo ya kuachwa.
Ila Kama hakupendi kivile anaweza kukuambia ukweli kwani haugopi matokeo.

🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom