kitandachapesa
Senior Member
- Jun 8, 2019
- 157
- 162
Kama ushauri wa kikatili vile LAKINI..Single Mother ni balaa Mkuu,
Utajuta mno,
Kama mtoto wake yuko ana miaka mitano,
It means mkioana tuana mleta uananza Kusomesha, na huyo mtot anajitambua
So atajua fika kuwa wewe si baba yake......
Mpka akuzalie, tayari wake yuko darasa la tatu, then ww wako anaza chekechea wake yuko Chuo....
ACHANA NA HIZO BIASHAHARA,
HASARA ROHOO, PESA MAKARATASI,
Fedhea kwao na kwa Washkaji isikufanye UKAFUNGA PINGU ZA KUJUTIA MAISHANI....
Jibu lipo hapo kwenye lkn
Hapa utapewa ushauri na wengi wa hali tofauti tofauti.
Nikiwa mimi... sipendi kuishi alone ntaomba Mungu nimpate mtu atakaye nikubali pamoja na watoto wangu...maana yake ni kuwa hapa ntakushauri umuoe tu haina tatizo
Nikiwa mama wa binti mwenye mtoto alozalia nyumbani ...hapa ntakushauri umuoe tu hana shida
Nikiwa mama wa mtoto mkubwa anaetaka kuoa ntakuambia ACHANA NA HIYO BALAA utateseka sana mbeleni mwanzoni mambo huwa mazuri ila siku uchumi ukiyumba ...ukiumwa muda zaidi...pakiwa na ugomvi wa hapa na pale huyo baba mtoto ndo anakusaidia jukumu lako KUU....ntakukumbisha kuwa kwenye mahusiano watu wakishaachana na wengine kuchukiana lkn kila mmoja akipata mwenza mwingine chuki inapunguaga na wengine kuisha kabisa inabaki kutamaniana (sembuse kwa waliozaa!!!!)
Nikiwa kama dada ako niliezalia home ntakwambia oa tu haina tabu.....
Zaidi
Zaidi
So ushauri inategemea....
Kuna waliokanyaga mavi wanataka nawe ukanyage