Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Hili ndilo tatizo kubwa la single maza. Mwanamke mtu anayezaa nae huwa anampenda kiukweli in very rare cases anazaa na mtu asiyempenda. Very rare cases kama kubakwa au kurubuniwa katika umri mdogo na hawa wa hivi ndio huwa hawarudigi nyuma.

Ila wale ambao msichana ana miaka 23 au zaidi halafu kazaa na mtu wengi huwa wamedhamiria. Huyu wa hivi atamchukia mwanaume aliyemzalisha akiwa kwenye msoto ila akiwa kwenye comfort zone lazma wapashe kiporo.
Mwanamke ambaye ameshazaa akiwa kwenye shida anamchukia Sana jamaa aliyemzalidha.
Akishakuwa kwenye raha anakumbuka ya zamani.
Na watoto atarudi kuwazaa na baba wa mwanzo tu.
 
Wazazi wake nao walikuficha kuhusu Binti Yao dah ...
 
Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Jamaani pole sana.....enheeeei kwa hiyo upo single.......😎😎.
 
Ila daah kuna single mother wengine wazuri, kuna mmoja mrangi alikuwaga mwembamba,kavamia mume wa mtu akazani ataolewa mke wa pili, kazalishwa kapigwa chini. Baada ya hapo kanawili nyonga imetanuka, bonge la shape.
 
Haya hayawezi nikuta.am too old for that.
 
Usijichanganye ukaoa Single mama, narudia tena usijichanganye.
Achana na hizo story huko juu eti sijui Inategemea na mtu, hakuna kitu kama hicho.

Wazazi huwa hawaachani. Iko hivo na itaendelea kuwa hivyo siku zote
 
Jipe muda kwanza wa kutafakari, isogeze mbele harusi....ukiona ntazamo bado ni huo huo baada ya mwezi...endelea na uamuzi.
 
Sasa mkuu ushauri upi wakati ni kiapo ushajiwekea na bit la mshua juu pita hivi tu
 
Alafu mwanamke ambaye mwanaume mwenzio kamshindwa ussijidanganje kuwa wewe mjanja kuliko huyo mwengine. Utakuja kuumia tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…