Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Ukweli mtupu. Yaani single maza wee piga de libolo zalisha tena alafu sepa zako
 
Ukwe
Ukweli mchungu single Maza asilimia kubwa Huwa hawaachani na aliyezaa naye... Kifupi ukimuoa jiandae kisaikolojia ya kuwa wanaume wawili mke mmoja?!! WaTu wanaongea kutokana na uzoefu tulioptia...
Amejiandaa mume mwenzake kuja kumsalimia mtoto?

Amejiandaa siku mtoto amefiwa na ndugu upande wa kiume mke wake ampeleke mwanae nyumbani!

Amejiandaa mume mwenzake kushiriki malëzi ya mtoto wake??

Hapa Huwa panakua na wivu endapo baba wa mtoto anatuma hela Kwa ajili ya mwanae na Muda mwingne mwenzi anaweza kukudanganya kuwa hatumiwi pesa kumbe anapewa??

Na mwwisho itaaleta conflict na dharau.
Mambo ni mengi Sana Kwa single maza jamaanii.. Wana Siri nzito Sana.. hawez kukuambia zotë... Ngja niishie hpa na gazet Langu..
Kiukwel hao ni wakupiga tu basi na kusogeza maisha wengi wao..wachache Sana wanajitambua... Huyu wa huyu ndugu Hapana Kwa kweli... Akilazimisha atajua mengi Huko mbeleni yatakayo mjutissha. Kwan tayr anasoneneko
 
Single motherz wengine ni watulivu na watiifu wakiwa wanatafuta ndoa. Ile comfort ya ndoa wakishaizoea ndio mabalaa huanza sasa. Anachat na mi EX yake kama kazi 😂😂😂
Tatizo ukipishana Naye kidgo... Anajuwa kutafuta furaha njeee..Hapo no kazi! Ndoa Ina mambo mengi Sana. Single Maza kutokana na nature yake utakuta akimwona mwanae Lazma amkumbuke x wake tu
 
Mkuu siyo wote ni wajanja wengine hawana utaalamu wa ule mwili wa hawa.
 
kuna watu wanaandika comment hapa lakini hapo hapo wana dada zao wako nyumbani wamezalishwa,naoni single maza
Na wao wasiolewe tu.
Unaanzaje mechi moja bila!?
Aafu mnasema, nataka mume wangu peke yangu.
Pumbafu!! Wakati yeye tayari anakuwa nao wawili!!
Singo maza aolewage mke wa pili au wa tatu!!
Hapo inabalance.
 
Natoa tahadhari mapema jamani wakuu.

Atakae hangaika kumuoa single mom wangu, hakika utakuwa umejisumbua bure.

Yule demu napiga muda na saa yoyote.

NB: siogopi kupakwa mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umetoka kumaliza Adhabu yako ya Red card kwa kutocheza game tatu (Manchester united,Bournemouth na New castle united) sasa umekutana na single mother adse pole sana Huu msimu kwako umekujia vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hata ukishauriwa uendelee huyo mwanamke ataenda kupata tabu. Mwache.

Ila wapo ambao wanaishi vizuri bila shida na wameachana kabisa na wazazi wenza wamebaki wanalea mtoto tu.
 
Ndiooooo tutakula. Na ndio mwanamke hutakiwi kuolewa na mwanaume ambaye alishazaa na mwanamke mwengine. Umekosa wanaume mpaka ukajishishe hivyo?
 
Asilimia 95 ya wanaume wanaowaponda single mothers humu ni ma single fathers wamewadanganya wadada wa watu wamewapa mimba hao ma single mothers na kuwatelekeza huko na kuja humu kupiga domo domo bila mpango...hebu vaeni condom kama kweli mnataka kumaliza hii kasheshe ya single mothers na muache kila mtu na chaguo lake..alaaar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…