Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Hatujasema malaika. Tambua ya kwamba hamna mzazi angependa mtoto wake abebe mimba nje ya ndoa wala kuoa single maza. Huo ndio ukweli.
Ata wewe siku ukija kuwa mzazi upate mtoto wa kiume alete single maza kwako utafura kweli kweli
Kaka yangu alioa single mama, hapo kabla mama mkubwa akawa hajapenda. Yule dada kaleta mapacha double na makelele siku hz yameisha. Bibi amebaki kuwa busy kulea wajukuu tu. Na Mungu alivyo wa ajabu wale pacha wa kike wote sura ni bibi yao mtupu hapo mama mkubwa hata hasemi kitu tena. Ndio kwanza kazidi kumpenda mkwe wake.
 
Oa tu! Kwani Single mother siyo watu? Wapo single mother wakiolewa wanatulia huwezi amini.
 
Weeeeee kimbia speed mia moja singo Maza haachani na mzazi mwenzake koma na kimbia haraka
 
Mweee! Huko kweli hamjitambui
 
Sio kweli mwamba, kuna nyapu zingine unaweza piga utadhani bikra katolewa juzi kumbe anawatoto wawili. Kwahiyo hilo huwa swala la maumbile tu
 
[emoji44][emoji44][emoji44] Kwani ndoa inahusu watu wawili tuu? Ndoa ni muungniko wa familia mbili bwana
Heeeee, mapenzi yao sie wana familia yanatuhusu nini???
Muhimu wanaishi kwa amani, napo wakishindwana sie kama wanafamilia pia tutaheshimu uamuzi wao.
 
Mkuu hoja zote nimezikubali, ila moja tu. Mwili ni wako, akili ni zako sasa mwanaume atakufanya vipi ucheat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umeacha njia zote sahihi zakukabiliana na jambo ukaona solution ni kucheat halafu umtaje mwanaume ndio sababu. Kama ni hivyo, uzinzi hautaisha maana mwanaume atacheat atasema sababu ni mwanamke tuone kama utatatua tatizo. [emoji23][emoji23][emoji23] ukishikwa na tamaa kili ni tamaa zako mbona wanaume wanasema ni nature yao au kwaundani hiyo kauli wanakili ni tamaa zao. Wewe uje umtaje mwanaume, anaishi ndani ya akili yako. Mwanamke akicheat jua ni tamaa zake sio mwanaume, njia za kutatua ni nyingi tu pamoja na kusepa ila mwanaume hajashikilia akili na tamaa zako bali ni wewe. Kama ukimtaja mwanaume basi ujue huna tofauti na kosa alilofanya Adamu tena yeye anaafadhali hakujua hilo tunda. Grow up! Yaani kuongoza familia ndio nishikilie na akili au tabia zako wakati hatukujuana kwa miaka 20 na zaidi.
 
Piga chini
 
Single mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi ukaiva na hako kabinti, ila wa kiume haji kua rafiki yako na akifanikiwa,atamwamisha mama yake hapo kwako...ref Diamond.

Ni sawa na mwanamke kwenda olewa na mwanaume mwenye mtoto wa kike.

Pia mkumbushe tuu mtoto wakiume atatumia sana nguvu zako na hatokuja kukuthamini kama baba yake na wala uyo baba ake mzazi nayepia anaweza asimuwaze kabisa atamuwaza tu mama ake, kwaiyo akifanikiwa kimaisha kunyangaywa mke ni rahisi sana kama (diamond na mama ake)

Pia mtoto wakiume asipofanikiwa utaishi nae apo mpaka uchoke na kama hutozaaa watoto wakiume wengine na uyo single maza bas uyo ndo mrithi halali wa mali zako maana watoto wakike hua wanaolewa wanaondoka na waume zao tena wakiwa wanamali izo za nyumbani hua hawazi kabisa, ila wasipo olewa na wao huja kua single maza apo apoa kwako na hawatotoka ng'oo maana ndo kwao.

Faida za watoto wakike ni unaweza kukadanganya ukakapetpet mpaka kakakupenda wewe kuliko baba ake mzazi maana hawa viumbe wapogo kihisia sana kuliko kihualisia.

So single maza mwenye mtoto wakike ni mzuri zaidi kuliko mwenye watoto/mtoto wa kiume...japokua kuoa single maza nawe na huna mtoto wa pembeni ni hatari kwa afya ya akili zako otherwize mungu awe amekujalia hekma kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…