Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuchukua hata sh 10 nikaachana nao nikabeba tu mwanangu hasara roho amani ya moyo Ni muhimu Sana Hawa watu baadh Ni washenz sanaPole sana mkuu Ikawaje mkuu.. Na mahari hawakurudisha ?
Kaka yangu alioa single mama, hapo kabla mama mkubwa akawa hajapenda. Yule dada kaleta mapacha double na makelele siku hz yameisha. Bibi amebaki kuwa busy kulea wajukuu tu. Na Mungu alivyo wa ajabu wale pacha wa kike wote sura ni bibi yao mtupu hapo mama mkubwa hata hasemi kitu tena. Ndio kwanza kazidi kumpenda mkwe wake.Hatujasema malaika. Tambua ya kwamba hamna mzazi angependa mtoto wake abebe mimba nje ya ndoa wala kuoa single maza. Huo ndio ukweli.
Ata wewe siku ukija kuwa mzazi upate mtoto wa kiume alete single maza kwako utafura kweli kweli
Mweee! Huko kweli hamjitambuiKaka yangu alioa single mama, hapo kabla mama mkubwa akawa hajapenda. Yule dada kaleta mapacha double na makelele siku hz yameisha. Bibi amebaki kuwa busy kulea wajukuu tu. Na Mungu alivyo wa ajabu wale pacha wa kike wote sura ni bibi yao mtupu hapo mama mkubwa hata hasemi kitu tena. Ndio kwanza kazidi kumpenda mkwe wake.
Ni mapenzi yao, wenyewe kama walipendana na wakaelewana sie wana familia ilikuwa inatuhusu nini?Mweee! Huko kweli hamjitambui
😲😲😲 Kwani ndoa inahusu watu wawili tuu? Ndoa ni muungniko wa familia mbili bwanaNi mapenzi yao, wenyewe kama walipendana na wakaelewana sie wana familia ilikuwa inatuhusu nini?
Sio kweli mwamba, kuna nyapu zingine unaweza piga utadhani bikra katolewa juzi kumbe anawatoto wawili. Kwahiyo hilo huwa swala la maumbile tuInamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?
Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?
Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.
Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
Heeeee, mapenzi yao sie wana familia yanatuhusu nini???[emoji44][emoji44][emoji44] Kwani ndoa inahusu watu wawili tuu? Ndoa ni muungniko wa familia mbili bwana
Mkuu hoja zote nimezikubali, ila moja tu. Mwili ni wako, akili ni zako sasa mwanaume atakufanya vipi ucheat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umeacha njia zote sahihi zakukabiliana na jambo ukaona solution ni kucheat halafu umtaje mwanaume ndio sababu. Kama ni hivyo, uzinzi hautaisha maana mwanaume atacheat atasema sababu ni mwanamke tuone kama utatatua tatizo. [emoji23][emoji23][emoji23] ukishikwa na tamaa kili ni tamaa zako mbona wanaume wanasema ni nature yao au kwaundani hiyo kauli wanakili ni tamaa zao. Wewe uje umtaje mwanaume, anaishi ndani ya akili yako. Mwanamke akicheat jua ni tamaa zake sio mwanaume, njia za kutatua ni nyingi tu pamoja na kusepa ila mwanaume hajashikilia akili na tamaa zako bali ni wewe. Kama ukimtaja mwanaume basi ujue huna tofauti na kosa alilofanya Adamu tena yeye anaafadhali hakujua hilo tunda. Grow up! Yaani kuongoza familia ndio nishikilie na akili au tabia zako wakati hatukujuana kwa miaka 20 na zaidi.Ila hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,
1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?
Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida
Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
Piga chiniWakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Swala la jinsia ya mtoto lina madhara gani?Ana mtoto jinsia gani?
Kama ana mtoto wa kiume, usioe.
Single mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi ukaiva na hako kabinti, ila wa kiume haji kua rafiki yako na akifanikiwa,atamwamisha mama yake hapo kwako...ref Diamond.Swala la jinsia ya mtoto lina madhara gani?
Single mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi ukaiva na hako kabinti, ila wa kiume haji kua rafiki yako na akifanikiwa,atamwamisha mama yake hapo kwako...ref Diamond.
Ni sawa na mwanamke kwenda olewa na mwanaume mwenye mtoto wa kike.