Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Inamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?

Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?

Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.

Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
 
Mashetani yapo ya jinsia zote, kutubebesha tu lawama wadada kila leo utadhani nyie wasafi sana.
 
Ulikuwa hujawah kumgegeda mkuu??
 
Mashetani yapo ya jinsia zote, kutubebesha tu lawama wadada kila leo utadhani nyie wasafi sana.
Ah wee nyie sii mnatubebeaha pia lawama, mara hatujui kutomber, mara tutamaliza bucha zote nyama ileile basi shida tupu. Mara hamna wanaume siku hizi.

Ila nilichogundua tunapondana hapa ila tungegeduana 🤣🤣🤣🤣
 
Ulichokosea ni kutomchunguza mchumba wako. Kosa kubwa sana ili wanafanya vijana wa siku hizi. Unaoa mtu bila hata kufanya upelelezi wa kina.

Mie wakati naoa enzi hizo nilikuwa mpk nawalioa watu wakachunguze kwao. Nilifanya kila aina ya udukuzi mpk shule alizosoma.

Nilipojiridhisha ndio nikatangaza ndoa tena huku nimempa na mimba juu ili nijiridhishe kuwa ana uzazi. Vijana sijui mnafeli wapi
 
Naunga mkono hoja yako....tumekuwa tukiaminishwa kuwa single mother sijui hawaachani na wenza wao hiyo sio kweli asilimia Mia...ndio kuna baadhi wanatabia hizo lkn sio wote kwamba wapo hivyo..tusikaririshwe kila kitu jamani

Mimi nilioa single mother na nimekaa nae miaka Saba na sikuwahi ona huo ujinga...mpaka nimemuacha mwenyewe kwasababu zangu binafsi...na ninatarajia kuoa single mother tena hivi karibuni inshallah....kosa kubwa ni huyo mwenzako hakuwa mkweli tangu mwanzo hapo naona ndio tatizo.

Ila kwakuwa ulishauriwa na Babu yako kuwa single mother ni majanga na wewe mwenyewe umeshakuwa na mashaka basi ni Bora usiendelee na ndoa...kwasababu hata Baba mtoto akitaka kujua Hali ya mwanae utajua tayar wana mahusiano.....inahitaji akili kubwa kuishi na single mother kama Hilo huliwezi kaa pembeni mkuu.
 
Ninavyosema niko nae ni mwaka sasa maana yake namkula kila nitakavyo
Me wake yeye wangu

Huwezi gundua mbususu iliyozaa na isiyozaa kwa namna unayosemea
 
Yani mwaka mmoja unatangaza ndoa kweli??..
 
Furaha ya mama ni ajumuike na mwanae pia huo ndio ukweli unless labda ni mkubwa na anaishi na Baba yake...lkn kama anaishi na mama yake hlf asiishi na mwanae kisa Mume hataki tarajia stress Kwa huyo mama mtoto...ukiwa a family Man mtoto sio tatizo kabisa
 
Single Mother ni balaa Mkuu,
Utajuta mno,

Kama mtoto wake yuko ana miaka mitano,
It means mkioana tuana mleta uananza Kusomesha, na huyo mtot anajitambua
So atajua fika kuwa wewe si baba yake......

Mpka akuzalie, tayari wake yuko darasa la tatu, then ww wako anaza chekechea wake yuko Chuo....

ACHANA NA HIZO BIASHAHARA,

HASARA ROHOO, PESA MAKARATASI,
Fedhea kwao na kwa Washkaji isikufanye UKAFUNGA PINGU ZA KUJUTIA MAISHANI....
 
Mkuu, piga chini huyo mwanamke, kwanza sio muaminifu kabisa pili single mothers kila siku unasikia shuhuda zao humu.

Wanawake wapo wengi mkuu tena vyombo hasa, achana na mambo ya kusikiliza moyo wewe ni Mwanaume tumia logic and fact kufanya maamuzi.

Cheers [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…