Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Mashetani yapo ya jinsia zote, kutubebesha tu lawama wadada kila leo utadhani nyie wasafi sana.Dah tukisema wanawake mashetani wanatupiga mawe humu ndani kumbe ukweli wenyewe ndio kama hivi.
Aisee pole sana mkuu hapo ni kuhesabu hasara tuu hamna namna.
Kwa kweli suala la kumtambulisha single maza kwa wazazi wako wakati wanawake wamejaa kibao ni kuwakosea adabu wazazi wako. Hiyo piga chini fasta mwanawane
Ulikuwa hujawah kumgegeda mkuu??Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Ah wee nyie sii mnatubebeaha pia lawama, mara hatujui kutomber, mara tutamaliza bucha zote nyama ileile basi shida tupu. Mara hamna wanaume siku hizi.Mashetani yapo ya jinsia zote, kutubebesha tu lawama wadada kila leo utadhani nyie wasafi sana.
Naunga mkono hoja yako....tumekuwa tukiaminishwa kuwa single mother sijui hawaachani na wenza wao hiyo sio kweli asilimia Mia...ndio kuna baadhi wanatabia hizo lkn sio wote kwamba wapo hivyo..tusikaririshwe kila kitu jamaniIla hii theory mnayosemaga single mother hawezi kuachana na aliyemzalisha sijui huwa mnaipata wapi sijui. Mtoa mada na wenzio naomba nikuulize kidogo,
1. Ukioa asiye single mother na akawa na mabwana tisa ndani ya ndoa yako unapata faida gani
2. Huamini kabisa mtu anaweza akaachana na mtu mwingine mazima?
3. Ukioa asiye single mother lakini amewahi kutoa mimba 9 kuna faida gani?
Badilisheni mitazamamo yenu. Asilimia kubwa ya mwanamke ku cheat ni wewe mwanaume unavyoamua kuyapeleka maisha ( Najua wapo vipepe yes). Unaweza kuoa bikira ila huko mbele ukachapiwa kuliko kawaida
Kuwa positive. Maisha sio magumu kiasi mnachoyasemea mitandaoni na mitaani. Tatizo la kweli hapo ni moja tu, kwanini hakusema mwanzo japo inawezekana pia aliogopa utamuacha sababu ya akili zako au alikuwa hakuchukulii serious kiviiiile.
Ninavyosema niko nae ni mwaka sasa maana yake namkula kila nitakavyoInamaana mpk unalipa mahali, mnafika huko hujawai mchojoa kabisa nguo?
Nnavojua mwanamke ukimwangalia tu akiwa uchi, utajua TU Kama kazaa au lah?
Ukisex nae ndo kabsaa, kila kitu kinakua hadharani.
Unawezaje kudanganywa ukakamatika kirahis namna hiyo mkuu[emoji848]
Yani mwaka mmoja unatangaza ndoa kweli??..Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Ilitakiwa nikae muda gani?Yani mwaka mmoja unatangaza ndoa kweli??..
Furaha ya mama ni ajumuike na mwanae pia huo ndio ukweli unless labda ni mkubwa na anaishi na Baba yake...lkn kama anaishi na mama yake hlf asiishi na mwanae kisa Mume hataki tarajia stress Kwa huyo mama mtoto...ukiwa a family Man mtoto sio tatizo kabisaAlikosea kuficha toka mwanzo ila cheki na moyo wako. Binafsi nimeona single mothers wengi tu wameolewa na maisha yanaenda freshi. Hizo habari za hawezi muacha mzazi mwenza ni dhana tu ambayo watu wengi wanayo dhidi ya single mommas.
Kama unampenda we oa. Mtoto abaki huko huko alikokuwa siku zote.
Single Mother ni balaa Mkuu,Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
Huyu mchumba wangu nimekuwa nikimuamini sana huwezi mdhania kwa mambo mabaya kwani kipindi chote hiki tumeishi kwa uwazi kumbe yeye aliwahi zaa miaka mitano huko nyuma akanificha
Moja ya kiapo ambacho nimejiwekea pia baba yangu mzazi hunisisitiza sana ni kutokuoa muke ya mutu i mean aliyekwisha zaa (single maza) kwani wanamadhira sana hawa watu pia hawezi achana na mzazi mwenzie
Sasa wakuu nimeingiwa mawazo sana, upendo ule wa mwanzo umeisha ghafla nimefikiria kuachana na huyu mwanamke hata kwa maumivu ya gharama kiasi gani lengo tu niepuke fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Tena akuoneshe kaburi lilipo... Unachimba unachukua mfupa unapeleka kwa mkemia...Single mother anetakiwa kuolewa ni yule mwenza wake aliefariki tu [emoji16][emoji3]
yaani kuna vitu vya kudanganya wewe,na vingine haviitaji fix kwa sababu mapokeo yanatofautiana baina ya mtu na mtuUtaishia kusema umelogwa au hujui kutongoza.Fiksi ndo makubaliano ya kikao cha juzi shida hukuwepo