Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Hiki ndo kinatufanya wengi tusizae bila mpango maana ukizaa tu mwenye nia ya kuoa ndo anakuja na akija yanatokea haya ya mleta mada. Eeh Mungu.
Zaa wewe acha uoga bwana mtoto anakuja na baraka zake huenda mume akaja sababu umekubali kuzaa naye
 
Single motherz wengine ni watulivu na watiifu wakiwa wanatafuta ndoa. Ile comfort ya ndoa wakishaizoea ndio mabalaa huanza sasa. Anachat na mi EX yake kama kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kosa lake huyo dada ni kutokukueleza mapema ili ujue kama utaendelea nae au usiendelee nae. habari za baba alikwambia sijui hiki au kile sio za kutuletea huku ungemaliza mwenyewe. Sasa kilichopo mkuu we jipe muda wa kufanya maamuzi pitia comment za watu jiridhishe kwanza ndio uamue rasmi.
 
DeepPond kwa hili Sina hakika kama upo sahihi. Nilitomba~ga mwanamke mmoja nikashangaa sana baada ya kuniambia ana watoto wawili ilhali mimi nilifikiri hajawahi kuzaa.

Labda unipe elimu kidogo juu ya hili
 
Ah wee nyie sii mnatubebeaha pia lawama, mara hatujui kutomber, mara tutamaliza bucha zote nyama ileile basi shida tupu. Mara hamna wanaume siku hizi.
Ila nilichogundua tunapondana hapa ila tungegeduana 🀣🀣🀣🀣
Siku hizi mambo yameparanganyika kote kote tu.
 
Usipepese macho wala kusubiri siku ya leo iishe muambia sikuwa na ndoto ya kuoa mwanamke mwenye mtoto na kwa namna yoyote sitaweza kuishi naye ungeniambia hili mapema nisingwfuka na wewe hapa tulipofika. Samahani hatuwezi kuendelea nakutakia kila jema. Hakikisha humuoi ndoa itakuwa na vita ukishasita hivi.
 
Kaka unaweza ukafanya yote hayo lakini ndani ya ndoa akakutibua hadi ukabaki unashangaa.

Rafiki yangu anampenda sana mkewe, wamebarikiwa watoto wawili. Jamaa kasafiri nje ya nchi mwaka mmoja na nusu karudi mkewe ana mimba kuuuuubwa ya karibia kujifungua na hivi tunavyoongea alishajifungua yupo kwao kwa wazazi wake anaomba msamaha kwa mumewe arudi maisha yaendelee.

Ni kuomba Mungu tu
 
Kuoa mzazi si kosa kama mmekubaliana maana hata ambao hawajazaa wana wanaume zao pia ila kosa kubwa alilofanya ni kukuficha. Hapo uamuzi ni wako
 
Ndugu yangu yeye alioa kbsa mwanamke akijuwa kbsa Hana mtoton na kwamb watot watakuwa was Kwanza ni wake kumbe yule mwanamke alikuwa anamtot mkubwa tu siku ya siku mwanae yule kamaliza fom 4 akalazimisha kuja kwa mam ake broo anafika jioni anakutana na mtot mkubwa akaukiza ajajibiwa kitu na mwanamke wake lkn akicheki dogo amefanana. Na mam ake kumbe mwanamke alikuwa na mtot siku nyingi alimzaa akiwa secondary ndio akarudishwa shule na wazazi wake mpk leo wanmke yupo kamzalia jamaa watoto wa kike na ndoa inaendelea vzr tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
usitudanganye..mshikaji asepe tu ni sawa na kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…