Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Nikisomaga comments za hivi namshukuru Mungu sana kwa kusababisha nishindwane na yule mwanamke
 
Dah tukisema wanawake mashetani wanatupiga mawe humu ndani kumbe ukweli wenyewe ndio kama hivi.
Wacha hizo mwamba! Kwani huyo jamaa yeye kaweka mambo yake yote hadharani? Hata sisi wanaume ni mashetani tu! Huyo bwana kama alipenda boga apende na ua lake full stop!
 
Achana nae chap mkuu mimi nilizaa nae na mtto nikatoa na mahali mamilioni ya pesa baada ya kujua ana mtoto mwigine wa miaka Saba zoezi la ndoa likasitishwa na mtoto wangu nikamchukua akakae na mama yangu
 
Wacha hizo mwamba! Kwani huyo jamaa yeye kaweka mambo yake yote hadharani? Hata sisi wanaume ni mashetani tu! Huyo bwana kama alipenda boga apende na ua lake full stop!
Sawa ata sie mashetani....ila huyu mwanamke kwa nini asimwambie jamaa kuwa tayari ni single maza?

Anyways lawama ziwaendee wazazi wanao kubali kulea wajuku zao huku watoto wao wakiendelea kutembeza vitumbua huko mujini
 
Weka namba yake mabaharia waruke nae

Cha wote huyo oooho utajiponza
 
Fuata huu ushauri uliopewa na mwanamke mwenzake
 
Weee kumbe hauwajui hawa viumbe mkuu

Muda wooote huo hajamwambia chochote alikua anasubiri nini?
 
Hii scenario ikikutokea unaweza kuhisi unaota
 
Na mara nyingi mwanamke akikupenda Sana ni rahisi kukudanganya Kwa kuhofia matokeo ya kuachwa.
Ila Kama hakupendi kivile anaweza kukuambia ukweli kwani haugopi matokeo.

🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…