Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

Yawezekana!
Maana watu wengi wanakimbilia sana Ngara na Kigoma kutafuta mabinti
 
Niulize mimi bro
 
Hata Wachagga ni Bantu, lakini sijawahi kukutana na asiye na miguu fito. Kwa hiyo siyo kila Bantu ni matende, wengine wana fito..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu mfano wako unatafuta vita na wahusika mkuu
 
Wana makalio makubwa? Wapo curved?
 
Wanakuletea awe kama mke wako au kama malaya wa kumtumia muda mfupi tu?
 
Hii ni kweli ila nadhani ni ya zamani. Kwa bibi yangu kuna jirani yake aliolewa kwa namna hiyo, wanatolewa uko kwao Ngara wakiambiwa wanaenda kuolewa wanakubali kabisa kisha wanakuja kuoelewa na mtu hawajawahi muona. They are loyal to the death, upendo wanaanza kabla hata hawajafika kwa mume.

Ilikuwa zamani sijui utandawazi wa sasa na elimu imefanya mabadiliko ila natarajia upendo wao, uvumilivu na kudumu kwenye ndoa wawe na uwezekano mkubwa kuliko jamii nyingi ninazojua. Tatizo lao elimu hawana.

Waangaza na Wasubi huwa nawaona na tabia za wanawake wa Burundi wala siwaoni kama Rwandese
 
Mkuu mimi nakwambia jambo la mwaka jana hapa nilikuwa huko kwenye msiba na nimeshuhudia mabinti wa kihangaza walioletwa kuolewa kwa order.
Huyo aliyekataliwa alikuja na mtoto hivyo mwanaume akamkataa akaanza kulia anabembeleza baadaye akapewa kwa mwanaume mwingine.
Halafu wanaowaoa nao choka sasa sijui kwao wana shida zaidi maana naona kama wanajibebesha shida zaidi.
 
Upo sahihi elimu hawana kabisa. Na hawapendi kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…