Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Sijawahi msikia akiongea bungeni huyo MTU
Aliacha ugaidi????
 
Wewe zako zimejaa uji
 
Nani kakudanganya kwamba Lwakatare ni baba wa siasa za Bukoba? Yaani mwaka huu kama atapata kura 5000 akatambikie! Alidanganywa na ma-CCM eti akitoka CHADEMA basi chama kitakufa.

kwa taarufa yako wana Bukoba wamempotezea ile mbaya alikuwa anategemea kwamba wale waliomwunga mkono kipindi anahama CUF kwenda CHADEMA watamfuata tena matokeo yake kaenda peke yake!
 
Mbona kama umepanic mkuu..huo ubabe bado anao au umekariri tu?? Lwakatare ndo kwisha hbr yke..yaani bukoba kwa sasa Lwakatare anachukuliwa kuwa kafirisika kisiasa na hata angebakia chadema wala asingepitishwa mwaka huu...kifupi ameloweka [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…