Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Inasikitisha sana sana,aendelee kumuomba Mungu atampigania,sio mwisho was furaha zako katika maisha yawezekana Mungu kamuepusha na jambo baya mbeleni.Wanawake siyo watu isipokuwa mama yako mzazi!
CC Sam love, davidsm
Ampeleke Polisi Sasa Analialia Nini, Apo Inatakiwa Aende Polisi
Uwe Na Akili Mimi Si NABII WA BAALI Kama Wewe
hhaahaah hee flora na mkewe atufanye mimi na wewe tugombane haya bwana
ila nijibu swali ali au haku???
ataleta visingizio ving tu ila ajibu tuhuma za kubaka
kabla hajajibu tuhuma tunaomba ututhibitushie alikubaka kweli?. ...kama ni kweli alikubaka mara ngapi??.... kama alikubaka zaidi ya mara 1 kwanini hukutoa taarifa polisi mara ya kwanza ukaenda kuripoti baada ya kubakwa zaidi ya mara3?...... na mbona kuna taarifa kwamba ulitoa ushirikiano wa miguno na mauno wakati unagegedwa?......na mwisho thibitisha unamiaka 17 au 19??
umelewa au? naitwa sam natuheshimiane mr.. i wil never applause for ur dirty statement please behave
jibu swali alikubaka au hakukubaka?