Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Wanawake siyo watu isipokuwa mama yako mzazi!
Inasikitisha sana sana,aendelee kumuomba Mungu atampigania,sio mwisho was furaha zako katika maisha yawezekana Mungu kamuepusha na jambo baya mbeleni.
 
Dah huyo flora mbasha kawazidi..mbona anaroho mbaya sana..shida ni nini..
 
duuuh natamani niwaambie MSITUOE TENAAAA
ACHA TUBAKI TU HIVI JAMANII INASIKITISHA SANAA UWIIIIII
ROHO YA PAKA mtengwa
 
Last edited by a moderator:
Ampeleke Polisi Sasa Analialia Nini, Apo Inatakiwa Aende Polisi
 
Humu Jamiiforum Hakuna Hakimu, Aende Polisi Au AFUNGE MDOMO AMWOMBE MUNGU
 
Mungu awasaidie maana huku ni kukwama. Shetani anajua akivuruga ndoa anakuwa amekamata watu wengi. Na jamii inaharibika.
 
hhaahaah hee flora na mkewe atufanye mimi na wewe tugombane haya bwana

ila nijibu swali ali au haku???

Mimi nakuheshimu dadaangu, naitwa sam kwaiyo hapo siusiki, naamini unapenda majadiliano ya amani bila ku judge personality zangu kwakua hatujuan
 
ataleta visingizio ving tu ila ajibu tuhuma za kubaka

kabla hajajibu tuhuma tunaomba ututhibitushie alikubaka kweli?. ...kama ni kweli alikubaka mara ngapi??.... kama alikubaka zaidi ya mara 1 kwanini hukutoa taarifa polisi mara ya kwanza ukaenda kuripoti baada ya kubakwa zaidi ya mara3?...... na mbona kuna taarifa kwamba ulitoa ushirikiano wa miguno na mauno wakati unagegedwa?......na mwisho thibitisha unamiaka 17 au 19??
 
umelewa au? naitwa sam natuheshimiane mr.. i wil never applause for ur dirty statement please behave
 
Back
Top Bottom