Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Naona unajaribu kutuaminisha kuwa Mbowe ni miongoni mwa mabilionea ila sema tu hatambuliki hivyo hapa nchini kwakuwa amewekaza Ulaya na Mashariki ya Mbali.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mbn unaongea chakula cha kuku wewe..sawa mbowe sio billionaire billionaire Ni wewe..
 
Haya ni mazungumzo ya vijiweni? Kujua na kutojua haina tija!
 
Billionare MwanaFA anatapishwa mzigo mbele ya pilato.
View attachment 1751973
View attachment 1751974

Mkuu hii nilisikia, kama hii ndo unaongelea then bado kabisa kurudisha mpunga.

Kina FA na AY walikata rufaa pia kupinga uamuzi huu so kesi bado ipo tena mahakama ya rufaa.

FA alitolea ufafanuzi the very next day Dec 8, 2020 baada tu ya huu uamuzi wa mahakama, naweka link hapa chini umsikie.

Hii hela hairudi na jamaa wataendelea kurushana huko rufani miaka na miaka.


Cc: johnthebaptist
 
Sio rufaa mzee bali ni mapitio ya rufaa.
Tafuta judgment zote usome utaona ni wazi wajomba wanatemeshwa mzigo live.
 
King Msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…