Pre GE2025 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.

Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-

View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea

- LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Ninachofahamu ni kwamba Waja Hospital/School Geita mna somo la Utapeli
 
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.

Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-

View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea

- LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Unakaa chini unatenga muda kumsikiliza makonda! Hii nchi wajinga wengi, yule kila za Ana jipya gani? Alikuwa UV ccm, akapewa ukuu wa wilaya, mkoa, akakingiwa kifua na Rais kutoka ksbila lake, aka wa jambazi kuu la ikulu, chawa kuu! Nothing more nothing less, nchi zenye u tawala wa sheria, huyu anastahili kunyongwa, mkutano wake kule Arusha, akaita wapuuzi wenzie, Zembwela, na wale kenge wa wasafi, Watu smart wenye level za kimataifa, Kama Tido Muhando, huwezi kuwa ona kwenye vilinge vya kipuuzi,
Sio msomi, sio mfanyabiashara, ni ass kisser tu wa ikulu! Chawa,
Huwa ananikumbusha Maliyamungu, yule mpambe kilaza,muuaji mkuu wa Idi Amini
 
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.

Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama kwa Tindu lissu ni CCM au kuachana na siasa , sababu :-

View: https://youtu.be/vskxiEQ9IMc?si=v4Z-qa7mLPBxr4Ea

- LGE2024 - Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini Makonda.
 
Nchi imejaa wapumbavu
Siasa ni imani au itikafi
Sasa mtu anahama vipi?
 
Swali jepesi, siku Lisu anashambuliwa Makonda alikuwa kwenye hiyo hafla aliyosema juzi? Kama hakuwepo kwenye hiyo hafla, na ikulu hakuwepo, basi yeye ndio alioongoza kikosi cha kutaka kumuua Lisu.
Huyu ndiyo muuaji na mtekaji
 
Back
Top Bottom