Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Mama hataki wasema kweli,anataka makondoo
 
Wanaoweza kuwekwa pembeni:
1)Majaliwa
2) Prof Mkenda
3) Dotto
4) Jaffo

Wataoweza kuingizwa:
1)Nape - Utamaduni
2)Kigwangalla



Spika:
- Nchimbi - Kama katiba inaruhusu
 
Natamani kila siku niwe nasikia hotuba kama hizi kutoka kwa madam President
Leo kawa real sana. Nadhani watu wanavutiwa sana na mtu real asiye na show za kinafiki kama alivyokuwa Magufuli. JPM alikuwa real sana ndiyo maana alivuta hisia za watu wengi.
 
Chuki zako dhidi ya prime minister hazikusaidii,unaumiza moyo wako bure,nakwataarifa yako huyo ndo rais wako ajaye,na Kama humpendi Hama nchi kabisa.
Na anapisha kweli ni mkeka wa madam Samia acha uoga kila Mtu ashinde mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…