Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Namuona Nape mzee wa goli la mkono kwa mbaaaali kwenye ofisi ya wizara flani hivi.
Wachezaji wapya
Dr. Kimei atakuwepo Kum replace nonsense toka migombani.
Wasukuma mtupishe tunataka kuwaletea watz maendeleo.
Makamba Ni waziri kiongozi,
Kiongozi wa bendi ya muziki wa dance atupishe.

Angalizo.
Kama Kuna waziri ataonekana amekaa sehemu na sabufa wanakunywa beer au hata kuongea tu au hata kumpigia simu sabufa ajifunze kuogelea.
 
Huyu mwamba Yuko vizuri,popote atakapowekwa Nampa tick...halafu Hakuna wizara ngumu Kama Tamisemi na anaitendea haki.
Laa hatari sana, yuko tamisemi tangu lini, pia utendaji kazi wake unaupimaje mkuu?
 
Kiukweli sishangai na namsifu kama atachukua uamuzi huo coz ilkua ni kosa kubwa kubaki na lile Baraza la mwendazake.
 
Atuondolee huyo kiumbe anaitwa January Makamba
Makamba Yuko kwenye top three.
Mwenye kutaka uwaziri anione Ila kwanza amponde ndugai hadharani
Tena aite press conference ya kumponda ndugai, ikiwezeka atumie ule udhaifu wa ndugai wa kuwakumbatia covid 19 na kule kutibiwa kwa mabilioni ilhali kondom ya Mia moja ingeokoa mijipesa yote Ile.
 
Hivi wanaowaza 2025 ukimtoa Makamba na Mwigulu kuna nani mwingine katika hao mawaziri?
 
Ua nyani Mama,usitazame usoni, aheshimiwe anayejiheshimu tu, asiyejiheshimu tupa nje atakuharibia kazi.
Wizara ya Tozo ua kabisa,Burundi kumejaa tunataka kurudi mansese
 
Nauya anaweza pata nafasi. Wizara ya kilimo haiwezi kurudi kama ilivyokua mwanzo kuna watu watawekwa pembeni
 
Doto aanze kuaga
 
Jamani mama kasema wanaowaza 2025 atawatema kwenye serikali yake. Ngoja tuone nani wanatemwa.

Baadhi yetu tuna shaka anataka kuweka wale wahuni serikalini. Mungu apishilie mbali tusije tena kuona wapigaji watupu kwenye baraza la mawaziri.

Yafaa mama atulize akili na ajue vita ya ufisadi na wahujumu uchumi ndio moyo kufanikisha maendeleo yenye maslahi kwa umma. Vinginevyo atapigiwa makofi na wanafiki watu binafsi wenye malengo ya kufaidika kwa kusaliti maslahi ya umma wa wananchi.

Nguzo ya CCM ni kujali maslahi ya umma vinginevyo watatemwa kwenye sanduku la kura. CCM haina hatimiliki kuongoza nchi hii ila wamekua wanachaguliwa kwa kujali maslahi ya umma.
 
Chama Cha Madikteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…