Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA HUO WA KISHENZI

Kuna tetesi kwamba DW na BBC watatoa live Mkutano huo .




Taarifa iliyosambazwa na chama chake inaonyesha kwamba atazungumza na vyombo vya habari mchana huu saa 9:30 kwa saa za Tanzania .

Awali , pamoja na kuzuiliwa amefanikiwa kuhutubia Mkutano kwenye kata moja kwa njia ya simu .


Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
 
Huyu mtu ana mahaba mazito kwa Watanzania...

Sala zetu zote Mungu amlinde
 
Atii mamlaka kiburi chake hakitaweza kumsaidia kwa lolote, mzee faragha!
 

Attachments

  • IMG_20230802_154230_057.jpg
    61.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…