Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

Atii mamlaka kiburi chake hakitaweza kumsaidia kwa lolote, mzee faragha!
Wewe choko hapa unasemaje? Mkishindwa hoja mnahamisha magoli
JamiiForums1552944936.jpg
FB_IMG_1638511560064.jpg
Screenshot_20210126-171647.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA HUO WA KISHENZI

Kuna tetesi kwamba DW na BBC watatoa live Mkutano huo .

View attachment 2743970

Taarifa iliyosambazwa na chama chake inaonyesha kwamba atazungumza na vyombo vya habari mchana huu saa 9:30 kwa saa za Tanzania .

Awali , pamoja na kuzuiliwa amefanikiwa kuhutubia Mkutano kwenye kata moja kwa njia ya simu .

View attachment 2743968
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Tupeni link
 
Jamaa siasa anaiweza sn
Ukatili wa Magufuli tuliona hata infastructure za kutudanganyia.

Ukqtili wa Samia mpqkq anagawa rasilimali zetu bila hofu
Huyu maza ni katili sn
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA HUO WA KISHENZI

Kuna tetesi kwamba DW na BBC watatoa live Mkutano huo .

View attachment 2743970

Taarifa iliyosambazwa na chama chake inaonyesha kwamba atazungumza na vyombo vya habari mchana huu saa 9:30 kwa saa za Tanzania .

Awali , pamoja na kuzuiliwa amefanikiwa kuhutubia Mkutano kwenye kata moja kwa njia ya simu .

View attachment 2743968
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Ningelikuwa kiongozi na kwakuwa wapo Mbugani ningewafurumishia mafisi na Simba wajue hatari za kuishi Mbugani dadeki 😁😁😁
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA HUO WA KISHENZI

Kuna tetesi kwamba DW na BBC watatoa live Mkutano huo .

View attachment 2743970

Taarifa iliyosambazwa na chama chake inaonyesha kwamba atazungumza na vyombo vya habari mchana huu saa 9:30 kwa saa za Tanzania .

Awali , pamoja na kuzuiliwa amefanikiwa kuhutubia Mkutano kwenye kata moja kwa njia ya simu .

View attachment 2743968
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Kuhutubia taifa na dunia?[emoji3][emoji3][emoji3] ila Nyumbu bhana
 
Back
Top Bottom