Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

Dunia itambue kwamba, Ndugu zetu Wamasai Wanateseka.
Wamasai ni wahanga wa Serikali ambayo imeshindwa kuwapa haki ya kumiliki na kuishi katika ardhi yao. Ni muhimu kuwawajibisha wale walio madarakani kwa matendo yao na kutetea haki za Jamii zilizotengwa.

Stop the Genocide
No to Neo-Colinialism
No to DPW
No to OBC
No to Waarabu

CCM must go

Aluta Continua
 
Maana ipo tofauti kubwa sana Kati ya kuzuia kuingia eneo lolote la nchi na kuzuiwa kufanya Mkutano wa Siasa

Huyo Tundu Antipas Lisu amezuiwa kufanya nini?

Hakunaga kama Mungu 😀😀
 
Huyo Mchungaji mwenye blue suit apongezwe Kwa Kweli.

Ntamuongelea siku ingine.
 
Wacha wampambe, kwa sasa hakuna atakaeweza kuidanganya jumuia ya
kimataifa kwamba tz kuna demokrasia kama lisu

Ccm ni habari nyingine bwashee, jamaa wapo miaka hamsini mbele
ccm wako miaka 50 mbele nimecheka sana huu ujinga

miaka 50 mbele kiupumbavu labda
 
Tundu Lissu anapotajwa tu unapata picha ni mtu wa haki, asiyependa watu waonewe katika taifa lao, iwe dhidi ya mabeneru wa kiafrika, huko duniani ama lah.

Amethibitisha hilo kwenye sekta za madini kwa mfano. Shujaa alipokuja na kuanza kukemea kila mtu akapongeza.

Hata haya ya Ngorongoro atakuja rais mwingine na kuanza kukuemea wale machawa wataimba mapambio.

Rai yangu, tujifunze kutazama mambo kwa uhalisia wake sio kwa hisia zetu na siasa zetu. Muda utahukumu.
 
ccm wako miaka 50 mbele nimecheka sana huu ujinga

miaka 50 mbele kiupumbavu labda
Huo ndio ukweli, we cheka au lia ccm itatawala tz mpaka itake yenyewe, hakuna wa kuiondoa
Wana nguvu, hela, dola, ushawishi, watu na kila unachojua kuhusu siasa wao wako vizuri, unawaondoaje kwa mfano?
 
labda miaka hamsin ya dpworld.
Iwe ya dp au pd ccm haitoki madarakani kwa mipasho,
Wapo vizuri kila nyanja inayohusu siasa kuanzia dola, fedha, nguvu, watu, ushawishi, mipango na hata malengo, yaani ukute hata lisu ni pandikizi, ccm ni habari nyingine bwashee,
Nani alijua mrema ni pandikizi ile 95?
Gari yake akiwa ndani ilisukumwa na wapambe kuanzia chalinze mpaka dar
Kwa jinsi upinzani ulivyotingisha halafu kuna waliouwawa na wengine kupigwa kwenye vurugu za siasa halafu kumbe jamaa ni ccm 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom