Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

Mbona wanawake wako wengi tu... Yani missed calls 8 bado unateseka nae??? Utawaza saa ngap mambo ya msingi?? mteme huyo..
 
Kijana kunywa pombe uchaji akili zako, unataka mpaka demu akukalie uchi ndipo ujuwe kuwa hana mpango na wewe? Yeye hakutaki tena, anza maisha yako upya.
 
Kaa kijanja unapoteza muda hapo chapa lapa tafuta mwingine mbona Dodoma kuna watoto wazuri tu
 
Mi nna kanuni zangu nikikaa mbali na demu natafuta mwingine na sita umiza kichwa kudili na aliye mbali
 
😂😂😂😂😂😂 we jamaa fala kweli huu ukweli utamchoma mwamba kama pasi. Hawa simbilisi bila kuwapa hela hasa hawa specie ya Dar kila weekend wanataka kwenda K.Koo kununua viatu na skin jeans hahaha mapenzi lazma yawe magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…