Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

Hahahha, mwanamke kama halali na kuamka kwangu pesa ataziskia kwenye vyombo vya habari na mawasiliano tu.
 
Hahahahah we msenge umetisha,,, hii trick ntaitumia siku nikipata pasua kichwa
 
Ni kweli hatuwezi kuficha...zinaanzaga dharau hadi mwanaume anajitoa,mwingine anakwambia kabisa muachane

Ila si uliachana nae au ulibembeleza akatulia kwako?
Nilianza kujitoa taratiibu bila kumwambia.Tukionana namla,na namchukulia wa kawaida na Ile thamani kubwa nikaitoa.Nikawa nakula papuchi huku akilini nikijua naiaga.Hatimaye ilikuja kuwa over nikaridhika na wakati huo na yeye akaanza pata tabu sn.Kwao hawamwelewi kunipoteza.Ilimsumbua sn sn,na bado mpaka ss ananitafuta.Muda huu sitaki hata papuchi yake kabisa
 
wanaume tunaweza kumiliki nyumva ndogo hata tatu na tusionyeshe dalili yoyote ya kushuka kwa upendo wala dharau
Mwanamke hajui kugawa upendo equally, lazma ataegemea upande mmoja tu na hapo ndipo tunapowafuma mapema tu. Yani akiwa na Robert na Niko lazma aegemee kwa Niko zaidi na kwa Robert penzi litashuka kwa 90%
 

Yaaaas!

That's what we do! (In Lingard's voice)

Ndio ilikuwa dawa yake...kuna muda wanawake tunapata watu wanaopenda kweli ila ndio hivyo hatutulii na vice versa
Huyo mdada unaweza kukuta somewhere anaelezea wanaume walivyo wabaya wakati yeye ndiye alianza kuharibu
 
pole mkuu....mm nimeachika kisa ule wakati wote ni wazee watungi na nilimtongoza nikiwa nimelewa
 
Anapata tabu sn ss.Juzi kanipigia simu et naomba nizalishe basi!!!nikasema NO THANK YOU.
 
Missed call 8, zote hizo za nini utadhani ana figo yako? Missed call 1 inatosha....

Kuna kidume kimejiweka hapo, mwanamke hawezi kukudharau bure bure.
hahaa,dah! unaua ndungu yangu, mbavu sina hapa. eti ana figo yako, sikutegemea hii statement kiukweli!!
 
Yule mwanamke aliniachia kichanga cha miezi miwili tokea hapo nawachukia wanawake mpaka kaburini
Kwa sababu humu hatujuani tunaomba kwa niaba ya wanaMMU tuwekee stori kamili tujifunze...unaweza kumsaidia mtu asiingie kwenye mtego
 
Missed call 8, zote hizo za nini utadhani ana figo yako? Missed call 1 inatosha....

Kuna kidume kimejiweka hapo, mwanamke hawezi kukudharau bure bure.
Bwana wee tunafundisha kweli kweli Hawa wanaume wenzetu hawaelewi...

Embu mfundishe wewe mwanamke labda atakuelewa...
 
Haha mkuu aliekua hayupo karibu na chake hakipo

Wacha jamaa ambaye alikua anatamaniwa na huyo manzi wake ajilie vitu kiulainii mida hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…