Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

Hili itabidi tulijadili kwa kina wapo makundi tofauti. Kama jiwe inabidi apewe kesi kwanza ya mauaji na ukiukaji wa Haki za kibinadamu.
 
Tutawachapa fimbo tatu tatu za matakoni halafu tunawasamehe.
 
Hakuna mwenye mamlaka ya kumsamehe mtu, sheria lazima iheshimiwe na uchukue mkondo wake. Wote wako sawa mbele ya sheria. That's all.
 
Lissu atakuwa rais wa mioyo yenu kama ilivyokuwa kwa Lowassa.

Nadhani mafuriko aliyopata leo wakati anachukua form kule Dodoma yatakuwa yamempa somo.

Ni JPM tano tena hutaki kunywa sumu ufe
Dodoma sio mkoa wa kufanyia political analysis, una akina ndugai wengi sana.
 
..YES.

..ilani ya Chadema inaelekeza kuundwa kwa tume ya MARIDHIANO ndani siku 100 tangu kuingia madarakani.
Kwani maridhiano maana yake kuwasamehe waliovunja sheria? Sheria ifuate mkondo wake kwa kweli.
 
Watanzania sio wajinga wamchague mtu ambae hawezi kukagua gwaride.
 
Endelea kuota ndoto za mchana...
Au manafikiri kula zitapigwa mtandaoni.?
 
mwenzenu Pascal Mayalla kakimbia jukwaa baada ya kukesha kwa waganga ili Lissu asirudi na kuishia kuliwa hela
Laiti ungelimjua mtu wa mwanzo aliyemshauri Tundu Lissu agombee uraisi 2020 usingesema haya.
Angalia tarehe ya bandiko hili
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Si wengi wanafahamu kuwa Lissu ali set some preconditions fulani hadi zitekelezwe ndipo arejee nchini, conditions alizotoa hazikutekelezwa ili asije, lakini Lissu alikuja kuamua kurejea nchini baada ya kushauriwa na mtu fulani, laiti ungelimjua mtu huyo ni nani, usingesema haya.
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

P
 
Sheria ifuate mkondo wake ili kila mtu avune alichopanda na tuliobaki tuheshimu sheria za nchi yetu.
 
Wasamehewe, japo hawezi kutwaa madaraka.

My opinion.
Yeye anasubiri kuapishwa na kuwa kiongozi wa wananchi wa Tanzania, hahitaji kuwa mtawala maana watawala wapo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…