Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni miongoni mwa wahanga wa mwanzo mwanzo kabisa .Mutungi akatafute kazi ya kufanya
Tutawachapa fimbo tatu tatu za matakoni halafu tunawasamehe.Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata sheria na haki.
Una hoja nzito mno !Hakuna mwenye mamlaka ya kumsamehe mtu, sheria lazima iheshimiwe na uchukue mkondo wake. Wote wako sawa mbele ya sheria. That's all.
Tunakuombea uwe hai siku anaapishwaRais wa mitandaoni kaonekana leo NEC akichukua fomu.
Dodoma sio mkoa wa kufanyia political analysis, una akina ndugai wengi sana.Lissu atakuwa rais wa mioyo yenu kama ilivyokuwa kwa Lowassa.
Nadhani mafuriko aliyopata leo wakati anachukua form kule Dodoma yatakuwa yamempa somo.
Ni JPM tano tena hutaki kunywa sumu ufe
Unataka ajibu ili dunia impuuze na yeye kama ilivyokupuuza wewe?Changia hoja kwa kujibu ulichoulizwa, dunia inaangalia mchango wako.
Kwani maridhiano maana yake kuwasamehe waliovunja sheria? Sheria ifuate mkondo wake kwa kweli...YES.
..ilani ya Chadema inaelekeza kuundwa kwa tume ya MARIDHIANO ndani siku 100 tangu kuingia madarakani.
Watanzania sio wajinga wamchague mtu ambae hawezi kukagua gwaride.Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Endelea kuota ndoto za mchana...Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.
Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?
Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
utarudi kuomba radhi , mwenzenu Pascal Mayalla kakimbia jukwaa baada ya kukesha kwa waganga ili Lissu asirudi na kuishia kuliwa helaEndelea kuota ndoto za mchana...
Au manafikiri kula zitapigwa mtandaoni.?
Laiti ungelimjua mtu wa mwanzo aliyemshauri Tundu Lissu agombee uraisi 2020 usingesema haya.mwenzenu Pascal Mayalla kakimbia jukwaa baada ya kukesha kwa waganga ili Lissu asirudi na kuishia kuliwa hela
Yeye anasubiri kuapishwa na kuwa kiongozi wa wananchi wa Tanzania, hahitaji kuwa mtawala maana watawala wapo ccmWasamehewe, japo hawezi kutwaa madaraka.
My opinion.