Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

Lissu atakuwa rais wa mioyo yenu kama ilivyokuwa kwa Lowassa.

Nadhani mafuriko aliyopata leo wakati anachukua form kule Dodoma yatakuwa yamempa somo.

Ni JPM tano tena hutaki kunywa sumu ufe
Kweli mkubwa Lissu atakuwa Rais wa Mioyo ya Nyumbu, JPM ataendelea kuwa Rais wa Tanzania.
 
Majibu tafadhali , ili mambo yasiwe mengi mwisho wa mwaka
 
Akifanikiwa kushinda hiyo October 28, 2020, CAG Assad aitwe ili afanye ukaguzi wa manunuzi ya ndege kwa trillion 2, ujenzi wa chato airport gharama zake halisi hadi leo hii hazijulikani, upotevu wa 2.7 trillions etc na kama kuna wizi au ufisadi wahusika wote wapandishwe kizimbani na kufilisiwa mali zao ili kulipa hasara kubwa kwa walipa kodi.

 
Sheria ifuate mkondo wake
 
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu huwezi ukachezea trillions za walipa kodi halafu ukaja na sheria uchwara eti usipandishwe kizimbani kwa maovu yako uliyoyatenda ukiwa madarakani.

Sheria ifuate mkondo wake
 
Mkuu, ni haki yako kujitia moyo, magufuli anachukua uraisi very very very soon, stay tuned mkuu
 
Kila mtu anapaswa kutii sheria bila shurti! Vinginevo sheria ifate mkondo wake.
 
Kinachotakiwa audio clips za Lissu zitolewe tujue alikuwa anafanya uhaini gani nyuma ya pazia. Sio kumfichia siri.
Kama ufisadi wa Nyalandu au EL mpaka alianzishiwa mahakama ya mafisadi ulitolewa basi hiyo clip ya Lisu itatoela
 
Hili swali is much better ukawaulize Azory, Luwena, Mawazo, Ben kutaja kwa uchaje jibu utakalopewa sisi wengine tuko tayari kufikiri.
 
Lissu achukue madaraka wapi wewe? Hata huko CDM hawawezi kumfanya mwenyekiti kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…