Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

..waTz wanajua mtetezi wa rasilimali zao ikiwemo madini ni TL.

..historia yake imeanzia Rufiji delta, Bulyankulu, Nzega, Geita, Buzwagi, North Mara, mpaka mikoa ya kusini.

..ukweli huo uliposhindikana kufutwa ndipo wakatumwa wasiojulikana kwenda kumshambulia kwa risasi.
Hana historia ya kupigania mikataba ya madini.

Huko nyuma uhusiano wake na maswala ya madini alikuwa mwanaharakati aliejikita kwenye issue za human rights migodini na kupigania maslahi ya wachimbaji wadogo ndio mambo yaliyokuwa yanayo mfikisha mahakamani enzi za mkapa (not to down play is heroic acts of the time).

But then ni mambo ambayo ata Joseph Msukuma anafanya mpaka leo sasa huyu nae ajigambe amepigania mikataba bora ya madini na investors.
 
Ndio maana naona sasa ni muda muafaka zitolewe tusikie maana kipindi kile alikuwa akipotosha sana kuhusu MIGA (which by the way ni insurer tu wala ahusiki na mambo ya mahakama).

Ata kama serikali aihusiki na tukio lake kwa kuwa wana record zake wacha jamii imjue Lissu alikuwa anafanya nini nyuma ya pazia kwenye kuvuruga jitihada za serikali.
Lissu ni Mwanasheria na Pia alikuwa Mbunge Kuomba Documents kwa Mwanyika haimaanishi ndio alikuwa anaihujumu serikali na hata kama alikuwa anafanya hujuma kwanini achukue maamuzi kama ya msaliti jeshini? Kwanini asimpeleke mahakamani kwa kutumia hizo clip alizokuwa "anatrepu"?

..kwenye suala la accacia serikali na tume zake walikuwa wanadanganya na TL ndiye aliyekuwa na ujasiri wa kutoka hadharani na kuukataa uongo huo.

..yaani umuue TL kwa suala la madini, huku ukiwaacha waliosaini mikataba hiyo, walioipitisha, na walioitete kwa miaka zaidi ya 15 wakati TL akiipinga?

NB:

..hatujalipwa usd 191 billion.

..smelter haijajengwa.

..makinikia yanaendelea kusafirishwa.

..disputes zinaendelea kuwa resolved nje ya nchi.
Mkuu inatosha utamchanganya mambo ni mengi sana yanawaumiza ukimuongezea na hayo unaweza ukamtia uchizi.
 
Lissu ni Mwanasheria na Pia alikuwa Mbunge Kuomba Documents kwa Mwanyika haimaanishi ndio alikuwa anaihujumu serikali na hata kama alikuwa anafanya hujuma kwanini achukue maamuzi kama ya msaliti jeshini? Kwanini asimpeleke mahakamani kwa kutumia hizo clip alizokuwa "anatrepu"?

We unajuaje serikali inahusika? Anyway kwenye vita askari anaejaribu kurudisha jitahada nyuma utambuliwa kama msaliti.

Pamoja na hayo Lissu aliombwa sana aache kupotosha umma hakusikiliza. Yeye alikuwa kila akiamka anatunga uongo tu.

Halafu sisi watanzania tukisikia mtu mwanasheria tunadhani anajua kila kitu ndio hayo ya kumpeleka Kabudi kuongoza majadiliano ya madini utapunjwa tu.

Ndugu mkataba wowote wa natural resources finance ndio sehemu kubwa ni kwa sababu hizo watu wanataka kujua geological data kwanza na reserve estimates (kama ulifuatilia kwenye majadiliano ya ACCACIA na Barrick) kabla ya kuinunua walikuwa wanabishana sana hapo kwenye ilo eneo na kila mtu alikuwa anarudi na geological data zake kuonyesha value ya migodi.

Baada ya hapo zinafuata technical issues za finance return na share of commercial benefit wataalamu wanadai hiyo ndio 95% ya negotiation sasa Lissu anajua geology au finance?

Acheni kujiongombea sio Lissu wala Kabudi wa kuwekwa mezani kwenye contract negotiations hawana hizo sifa.

Yeye Lissu huko nyuma alikuwa anapigania mambo ya environment na social benefits hizo ni aspects ndogo sana za kwenye majadiliano.
 
..uongo mwingine ni huo wa accacia vs barrick.

cc Savimbi Jnr
 
..barrick ndio walioanzisha acacia.

..wananchi walipaswa kujiuliza kama tumeibiwa na acacia kwanini tunazungumza na barrick?

..Jpm aliamua kuwalaghai wananchi kuwa acacia ni wezi na barrick ni kampuni safi.
 
Tuanzie hapa ili upate hitimisho mwenyewe kwanini serikali iliamua kuongea na Barrick.

Jibu yafuatayo:
Kwenye faida ya ACCACIA nani mnufaikaji mkubwa?

Nani anaamua matumizi ya ACCACIA katika mapato yao na kwa mamlaka gani?
 
Tuanzie hapo ili upate jibu kwanini serikali iliamua kuongea na Barrick.

Kwenye faida ya ACCACIA nani mnufaikaji mkubwa?

Nani anaamua matumizi ya ACCACIA katika mapato yao na kwa mamlaka gani?

..Jpm na Kabudi walikuwa wanadanganya wananchi kwamba accacia ndio waovu, na barrick ni watu wazuri sana. That was RUBBISH if you ask me.
 
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
Sheria ichukue mkondo wake
 
..Jpm na Kabudi walikuwa wanadanganya wananchi kwamba accacia ndio waovu, na barrick ni watu wazuri sana. That was RUBBISH if you ask me.
Awakuongopa kama majadiliano yao na ACCACIA ayakuwa poductive they were just stating facts.

Ndio maana nimekupa yale maswali mawili ili tupate jibu ni vipi Barrick alikuwa na nguvu na maslahi mapana kwenye kampuni kuliko management ya ACCACIA hadi serikali kuamua kuongea nao na swala likaisha peacefully.
 
Awakuongopa kama majadiliano na wao ayakuwa poductive.

Ndio nimekupa yale maswali mawili ili tupate jibu ni vipi Barrick alikuwa na nguvu na maslahi mapana kwenye kampuni kuliko management ya ACCACIA

..naijua historia ya jinsi barrick ilivyoingia nchini, mpaka mwisho wake tukajikuta tuko na accacia.
 
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.

Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao umekwisha ghafla bila wenyewe kujiandaa, huku ikitajwa kwamba ujio wa lissu "The Game Changer" umeharakisha kung'oka kwao.

Sasa nimekuja kwenu wana JF kuuliza hivi, hawa waliotumia madaraka yao vibaya tuwakusanye uwanja wa Taifa tuwaonye na kuwakaripia kwa uchafu wao na kuwasamehe tu au tuache Sheria ichukue mkondo wake?

Kwa upande wangu mimi ni muumini wa kufuata Sheria na haki.
CCM ina wasiwasi na Zanzibar kuliko Bara. Uchaguzi bara umeshaisha zamani.
 
Sheria ifuate mkondo, wale waliomiminia Risasi wawajibishwe nadhani wanajijua
 
Kuna watu ukiwapima akili zao unajua kabisa hazimo, kwa akili yako kabisa unaamini lissu anachukua nchi mapema?ama ni propaganda tuu mnasambaza??
 
..YES.

..ilani ya Chadema inaelekeza kuundwa kwa tume ya MARIDHIANO ndani siku 100 tangu kuingia madarakani.
Mkuu hata kumpeleka mahakamani MTU aliyeagiza huyu au yule ashambuliwe, apigwe risasi, auwawe nk. kisha ikaamuliwa badala ya kitanzi au kifingo cha maisha basi ale mvua 5 hayo nayo ni maridhiano.
Maridhiano yapo pale pale, lakini wenye vifingo virefu lazima wapigwe basi vifupi tuu.
Mfano aliyepompoteza Ben eti waridhiane kwa maongezi tuu? NO huyo lazima anyee ndoo hata kama muda mfupi
 
..tume ya MARIDHIANO itaamua hatua za kuchukua.

..lakini nikiangalia walichofanya Afrika Kusini tume haikujielekeza sana ktk kuadhibu.
 
Kwa bahati nzuri, hatuna sheria ya baadhi ya ndoto kuwa ni kosa na mtu huweza fungwa au faini. Kwa hiyo kila mmoja wetu ana haki ya kuota ndoto aitakayo.
 
Back
Top Bottom